Roho Wazuri na Wabaya

David Boyd Long

$2.75

Biblia Inafundisha Nini juu ya Roho?

Pepo wabaya wanafanya kazi yao tangu kuumbwa kwa watu kufika sasa.

Waandishi wa kitabu hiki wanatumika na Biblia kuhakikisha ya kwamba haiwezekani kwa pepo wabaya kukaa ndani ya Mkristo. wanatuonya na nguvu kukaa na ange kwa hila ya Shetani na kujitenga kabisa na maneno yote ya uchawi.

Wakati nilipokuwa mtoto niliogopa sana kufikia pahali pa makaburi. Ninazani hata sasa singependa kushinda usiku mzima katikati ya makaburi. Labda niliogopa hivi kwa sababu nilipata nguvu nikifikili wafu wanarudi tena kuchokoza watu walio kwanza hai. Wapagano wengi wanafikili hivi. NI kweli? Wafu wanarudi kama roho? Ndani ya kitabu hiki tutajifunza juu ya roho na kama walitoka wapi. Lakini kwanza inatupasa kuona kama Biblia inafundisha nini juu ya Mungu.

David Boyd Long

David Boyd Long was born in Ireland and served as a missionary in Angola for over 30 years. The primary focus of his ministry was translating the Bible into Chokwe and teaching the Word over a wide area. When the Longs had to leave Angola because of the civil war, they returned to Canada, continuing a widely accepted ministry around the world. Mrs Long passed away in 1982; Mr Long remarried the following year; subsequently moving back to Ireland where he passed away early in 2007.

Related Products

More Titles by David Boyd Long

Newsletter Sign Up