Translations

Eternal SecurityWokovu wa MileleA segurança eternaSeguridad eterna

Wokovu wa Milele

R. E. Harlow

$5.25

Mtu anaweza kuokolewa sku ya Bwana na kupotea tena siku ya kazi moja?
Mungu anampa mtu uzima wa milele, kisha anauondoa tena?
unahitaji kulipa mali ngapi kupata zawadi ya Mungu?

Biblia inafundisha ya kwamba Mungu alitoa Mwana wake ili watu wote waweze kupata uzima wa milele. Ni zawadi ya Mungu, si zawabu kwa kazi njema. Kuna mashairi mengi ndani ya Biblia yanayohakikisha ya kwamba mtu anayekwisha kuokolewa hawezi kupotea tena kamwe.

Ni kusema kwamba mkristo anaweza kufanya neno lo lote analotaka? Sivyo, hata kidogo! Ni sharti kufundisha kweli ya Wokovu wa milele pamoja na Mapigo ya Baba kwa mtoto wake anayekwenda mbali naye. Baba mtakatifu hawezi kuruhusu kamwe mwana wake kukaa kuhayarisha jina lake. Kusudi la mapigo haya ni kutufundisha wakati sisi ni duniani ya kwamba haifai tukosee Mungu.

Ndani ya kitabu hiki, mwandishi anataja mashairi mengi yanayofundisha kweli hizi mbili. Ndani ya sehemu ya tatu ya kitabu anaeleza mashairi mengine yaliyo nguvu kufahamu kwa sababu ni kama yanbisha mafundisho ya kweli zile mbili.

Mapendo, furaha na salama ni kwa kila mwamini. Lakini maneno haya matatu hayawezekani kama nikikaa kufazaika saa zote kama kazi zangu njema zikitosha kuokoa nafsi yangu, au kunilinda nisipotee. Kitabu hiki kitakusaidia usifazaike juu ya maneno haya tena kamwe.

R. E. Harlow

Robert E. Harlow,a long-time commended worker, went to be with the Lord on March 10, 2003, five days short of his 95th birthday. He was co-founder of Emmaus Bible College, now located in Dubuque, Iowa, and founder, along with his wife, Gertrud, of Everyday Publications, Inc., in Port Colborne, ON. Dr. Harlow wrote more than fifty books, including Come and Dine: New Testament Readings for Every Day (1976). His,Can We Know God? (1958) was the first of a series of books he wrote in simple, "Everyday", English. It has sold some 500,000 copies in more than a dozen languages. A native of Toronto, he was also a missionary in the Belgian Congo.

Related Products

More Titles by R. E. Harlow

Newsletter Sign Up