Translations

Ask In My NamePidan en Mi NombreOmba kwa Jina LanguDemandez en Mon Nom

Omba kwa Jina Langu

Gertrud Harlow

$3.00

"Na mukiomba lo lote kwa jina lanu, nitalifanya, Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Kama mukiomba neno gani kwa jina langu nitalifanya." Yoane 14.13-14

  • SKU: 171
  • ISBN: 978-0-88873-171-5
  • Page Count: 32
  • Language: Congo Swahili
  • Format: Paperback
  • Binding: Saddle-Stitch Binding
  • Category: Doctrinal
  • Topics:  Prayer

Nani alisema maneno haya matamu katika Yoane 14.13-14? Bwana Yesu Kristo, Mwana wa Mungu. Alikuwa akifundisha wanafunzi juu ya maombi, na pamoja na agizo hili kuomba kwa jina lake aliwapa ahadi ya ajabu: alisema atafanya neno lo lote ambalo wataomba, ili Mungu Baba atukuzwe ndani ya Mwana wake.

Gertrud Harlow

Gertrud (Koppel) Harlow was a missionary for 14 years in the Belgian Congo, involved primarily in literature and translation work, before her marriage to Dr. Harlow. She still continues in the work with revisions for Swahili as well as typesetting new French titles.She works from her home office at Park of the Palms, Florida.

Related Products

More Titles by Gertrud Harlow

Newsletter Sign Up