Jua Kitabu: Tazamo la Biblia

E.A. Johnston

$8.50

Kusudi la kitabu hiki ni kusaidia msomaji kujua maneno makubwa yaliyo ndani ya kila kitabu cha Biblia. Ni Tazamo, si Tafsiri (maana yake hakielezi maana ya maneno yote yaliyoandikwa ndani ya kitabu chenyeweh.

Kuna mafundisho juu ya historia na desturi za watu kwa wakati kitabu chenyewe kilipoandikwa. Mafundisho haya yanatoka kwa “The New Manners & Customs of the Bible” (mwandishi: James M. Freeman).

Mungu akubariki na kupa ufahamu wakati unaposoma na kujifunza Neno la Mungu na kushiriki utamu wake na watu wengine.

KNOW THE BOOK E. A. Johnston

AGANO LA KALE

Related Products

Newsletter Sign Up