Mashairi Kwa Wakati Wa Mateso

Gertrud Harlow

$2.00

Kuficha Moyoni Sasa!

Mashairi kwa Mkristo wakati anapojaribiwa na kuteswa kwa ajili ya Kristo

Ni vizuri kila Mkristo ajifunze mashairi haya na nia hata aweze kuyakumbuka saa anapoyahitaji kwa kumsimamisha imara kwa Bwana. Labda siku nyingine hatutakuwa na Kitabu cha Mungu mikononi mwetu, hivi inatupasa kuficha Neno la Mungu mioyoni pahali hakuna mtu atakapoweza kulinyanganya.

Gertrud Harlow

Gertrud (Koppel) Harlow was a missionary for 14 years in the Belgian Congo, involved primarily in literature and translation work, before her marriage to Dr. Harlow. She still continues in the work with revisions for Swahili as well as typesetting new French titles.She works from her home office at Park of the Palms, Florida.

Related Products

More Titles by Gertrud Harlow

Newsletter Sign Up