Translations

Job Had a ProblemJob tenía un problemaJob tinha um problema

Taabu ya Yobu:
Mafundisho juu ya Kitabu cha Yobu

R. E. Harlow

$5.75

Ndiyo, Yobu alipata taabu. Watu wale duniani wanapata taabu.

  • SKU: 135
  • ISBN: 978-0-88873-135-7
  • Page Count: 86
  • Language: Congo Swahili
  • Format: Paperback
  • Binding: Perfect Binding
  • Category: Bible Study
  • Topics:  Job

Taabu ya Yobu ilikuwa namna nyingine na taabu ya watu wengine, lakini Mungu alikuwa na jibu kwa mafazaiko yake na alimsaidia kwa wakati wa kutimia.

Mungu aliwapa Bezaleli na Oholiabu na watu wengi wengine katika Israeli akili na ufahamu waweze kujenga hema ya Mungu (Kutoka 31:3,6). Alijibu maombi ya Solomono na kumpa akili kubwa (1 Wafalme 3:9,12,28; 4:29-31). Akili ya Solomono ilionekana wazi wakati alipohukumu maneno na magomvi ya watu kupatana na sheria ya Bwana. Alitoa masemo ya akili yanayoitwa mezali, na aliandika vilevile nyimbo 1005 (1 Wafalme 4:32).

Maneno yaliyopata Yobu yanaweza kukusaidia vewe vilevile. Una taabu leo? Na mafazaiko? Macho ya Mwenyezi Mungu ni juu yako naye atakusaidia namna na kwa wakati inapompendeza. Hatakusahau wala kukuacha kamwe.

R. E. Harlow

Robert E. Harlow,a long-time commended worker, went to be with the Lord on March 10, 2003, five days short of his 95th birthday. He was co-founder of Emmaus Bible College, now located in Dubuque, Iowa, and founder, along with his wife, Gertrud, of Everyday Publications, Inc., in Port Colborne, ON. Dr. Harlow wrote more than fifty books, including Come and Dine: New Testament Readings for Every Day (1976). His,Can We Know God? (1958) was the first of a series of books he wrote in simple, "Everyday", English. It has sold some 500,000 copies in more than a dozen languages. A native of Toronto, he was also a missionary in the Belgian Congo.

Related Products

More Titles by R. E. Harlow

Newsletter Sign Up