Shauri la Mungu kwa Wanawake Ambao Wanampenda

Anne Barnett

$2.75

Mungu ana kusudi ndani ya maneno yote ambayo anafanya.

MWANZO

Mungu ana kusudi ndani ya maneno yote ambayo anafanya. Ana kazi kwa kila pando, kila nyama ndani ya dunia hii ambayo aliumba. Mungu aliweka kwa pahali pao hata vitu visivyokuwa na uzima, kama miamba, viziwa na nyota. Utaratibu wa Mungu ni mkamilifu kabisa naye atatimiza shauri lake kubwa kwa watu. Mungu haanguki kamwe ndani ya maneno ambayo anayafanya.

Mungu alikuwa na kusudi kubwa kwa mwanamke wakati alipomleta kwa mwanamume kuwa msaidizi na mwenzi wake. Sharti sisi wanawake tushirikiane na Mungu ili tusifanye neno litakalozuiza mashauri na makusudi yake kwa watoto wake. Sharti tusome Kitabu chake kwa kufahamu kama anataka sisi kutenda namna gani nyumbani mwetu, kanisani, na katika mji au kijiji pahali tunapopanga. Inatupasa kujiuliza maneno matatu:

Matendo yangu yanaonyesha Baba yangu ya mbinguni kwa watu wengine? Ninafanya maneno Mungu anayokusudi kwa mimi kufanya?

Mwenendo wangu unasaidia watu kufahamu kama kuwa Mkristo ni nini, na kuwapa hamu kujuana na Mungu wao wenyewe?

Mungu ana shauri kutusaidia kuwa wanawake namna yeye anayotaka. Tutakuwa na furaha ndani ya maisha yetu kama tukikubali shauri hili la Mungu. Mashairi 3 kufika 5 ya Tito 2 yanaeleza namna tunavyoweza kufanya hivi.

Anne Barnett

Anne Barnett has raised six children while remaining active in the local church as well as her writing ministry.

Related Products

More Titles by Anne Barnett

Newsletter Sign Up