Translations

Jesus Christ, God The Son

Yesu Kristo, Mungu Mwana

R. E. Harlow

$4.50

Milele ni muda mrefu sana. Ni mrefu kupita miaka elfu moja. Hatuwezi kupima urefu wa milele.

Yesu Kristo, Mungu Mwana

Somo ukurasa

1. Mwana alikuwa tangu zamani na 5
atakuwa milele 2. Kristo ni Mungu 7
3. Mungu Mwana 13
4. Mungu ni Tatu ndani ya Moja 17
5. Mwana aliumba ulimwengu 22
6. Mwana anategemeza ulimwengu 27
7. Mungu Mwana aligeuka Mtu 30
8. Mwana wa watu, Mtu Mkamilifu 35
9. Mwana anafunua Mungu kwa watu. 41
10. Kazi ya Bwana Yesu Kristo — zamani 46
11. Kazi ya Bwana Yesu Kristo — sasa 51
12. Kazi ya Bwana Yesu Kristo — wakati wa kuja 54

Mwandishi aligawa kila somo kwa mafungu mbalimbali mafupi. Kwa mfano kwa ukurasa 5 utaona 1.1. Ni kusema hili ni fungu la kwanza la somo la kwanza. Nyuma kidogo utaona 1.2, ndilo fungu la pili la somo la kwanza. Kuna mafungu matatu ndani ya Somo 1, na mafungu tisa ndani ya Somo 2.

Kwa karasa 58-62 utaona mashairi yanayotumiwa ndani ya kitabu hiki, pamoja na hesabu ya somo na fungu pahali shairi hili linapoelezwa. Kwa mfano unaweza kusoma juu ya Mwanzo 1:1 katika Somo 1, fungu 0 (ndilo mbele ya fungu 1); katika Somo 5 na fungu 0; na katika Somo 5 fungu 4. Kwa njia hii utaweza kupata maelezo ya mashairi mengi katika Biblia.

R. E. Harlow

Robert E. Harlow,a long-time commended worker, went to be with the Lord on March 10, 2003, five days short of his 95th birthday. He was co-founder of Emmaus Bible College, now located in Dubuque, Iowa, and founder, along with his wife, Gertrud, of Everyday Publications, Inc., in Port Colborne, ON. Dr. Harlow wrote more than fifty books, including Come and Dine: New Testament Readings for Every Day (1976). His,Can We Know God? (1958) was the first of a series of books he wrote in simple, "Everyday", English. It has sold some 500,000 copies in more than a dozen languages. A native of Toronto, he was also a missionary in the Belgian Congo.

Related Products

More Titles by R. E. Harlow

Newsletter Sign Up