Translations

Timothy and TitusTimothée et Tite

1 na 2 Timoteo na Tito

Philip F. Sykes Robert Henry Sykes

$5.75

Je, Mungu anaweka roho juu ya vijana (jeunesse)? Kabisa!

Je, Mungu anaweka roho juu ya vijana (jeunesse)? Kabisa! Waza juu ya Yosefu, Musa, Samweli, Daudi, Yonatana na Danieli. Paulo alikuwa kijana wakati Mungu alipoanza kutumika katika maisha yake. Na Paulo alipenda kijana mwingine, ndiye Timoteo. Alimwandikia Timoteo barua mbili. Akamwita mtu wa Mungu (1 Timoteo 6:11).

Kifunguo cha barua za Paulo kwa Timoteo ni katika 1 Timoteo 3:14-15 tunaposoma hivi: "namna inavyokupasa kutenda katika nyumba ya Mungu." Ndani ya barua za Paulo kwa Timoteo na Tito tunapata mafundisho makubwa sana kwa sisi waamini wa leo.

Tutajifunza kila shairi la barua hizi tatu. Saa ya kusoma kitabu hiki uwe na Biblia yako karibu. Itakuwa vizuri kusoma sehemu ile ya Biblia kwanza, kisha kusoma maelezo juu yake. Halafu fungua na kusoma mashairi yote ya vitabu vingine vya Biblia yaliyotajwa katika mafundisho. Mashairi yale mengine yatakusaidia kufahamu barua hizi za Paulo.

Philip F. Sykes

Phil Sykes, son of Robert Sykes is the co-author of Timothy and Titus.
E-Book in PDF format - TIMOTHY & TITUS

Robert Henry Sykes

Robert Henry Sykes was born in Michigan and served in the business world for many years. He and his wife, Wilma, were commissioned by their home church in Grand Rapids for missionary work in Angola. Now living in Montana, Bob Sykes is busy in a Bible teaching and church planting ministry.

Related Products

More Titles by Robert Henry Sykes

Newsletter Sign Up