Translations

The Ongoing ChurchL'Eglise en Marche

Kitabu cha Matendo: Kukua na kuenea kwa Kanisa

Gertrud Harlow

$9.25

Nini ilitokea wakati Bwana Yesu Kristo alipokwisha kurudi mbingini? Tunasoma habari hizi ndani ya kitabu cha Matendo.

  • SKU: 120
  • ISBN: 978-0-88873-120-3
  • Page Count: 158
  • Language: Congo Swahili
  • Format: Paperback
  • Binding: Perfect Binding
  • Category: Bible Study
  • Topics:  Acts

Nini ilitokea wakati Bwana Yesu Kristo alipokwisha kurudi mbingini? Tunasoma habari hizi ndani ya kitabu cha Matendo.

Kitabu hiki kinatupasha juu ya mwanzo wa Kanisa kwa Yerusalemna na namna gani Myuda mmoja, ndiye Saulo wa Tarso aligeuka Mkristo. Kwa wakati wa nyuma Mungu alitumika na mtu huyu aliyeitwa Paulo vilevile kupeleka Habari Njema kwa mataifa mengi. Waamini wengine toka Yerusalema walileta Habari Njema kwa inchi nyingine vilevile. Paulo aliandika barua nyingi kusaidia na kufundisha makanisa yaliyoanzwa ndani ya inchi hizi na nyingine za barua hizi ni ndani ya Agano Jipya.

Gertrud Harlow

Gertrud (Koppel) Harlow was a missionary for 14 years in the Belgian Congo, involved primarily in literature and translation work, before her marriage to Dr. Harlow. She still continues in the work with revisions for Swahili as well as typesetting new French titles.She works from her home office at Park of the Palms, Florida.

Related Products

More Titles by Gertrud Harlow

Newsletter Sign Up