Translations

Rivers of Living WaterMafundisho juu ya Yoane: Maji ya Uzima: Kitabu 1 Sura 1-9

Mafundisho juu ya Yoane: Maji ya Uzima: Kitabu 2 Sura 10-21

Gertrud Harlow

$6.00

Mungu ametupa sisi Habari Njema ine kutupasha juu ya maisha ya Mwokozi wetu hapa duniani.

  • SKU: 190
  • ISBN: 978-0-88873-190-6
  • Page Count: 92
  • Language: Congo Swahili
  • Format: Paperback
  • Binding: Perfect Binding
  • Category: Bible Study
  • Topics:  John

Mungu ametupa sisi Habari Njema ine kutupasha juu ya maisha ya Mwokozi wetu hapa duniani.

Kila Habari Njema inaonyesha Bwana Yesu Kristo kwa njia nyingine.

Matayo anamwonyesha kama Mfalme wa Wayuda.

Marko anamwonyesha kama Mtumishi mkamilifu.

Luka anaandika juu yake kama Mwana wa watu anayependa watu na kuwakufia wote.

Ndani ya Habari Njema ya Yoane tunamwona kama Mwana wa Mungu aliyekuja kukaa katikati ya watu.

Kitabu cha kwanza ni Mafundisho juu ya Yoane: Maji ya Uzima: Kitabu 1 Sura 1-9

Kitabu cha pili ni Mafundisho juu ya Yoane: Maji ya Uzima: Kitabu 2 Sura 10-21

Gertrud Harlow

Gertrud (Koppel) Harlow was a missionary for 14 years in the Belgian Congo, involved primarily in literature and translation work, before her marriage to Dr. Harlow. She still continues in the work with revisions for Swahili as well as typesetting new French titles.She works from her home office at Park of the Palms, Florida.

Related Products

More Titles by Gertrud Harlow

Newsletter Sign Up