Translations

The Perfect ManMafundisho juu ya Luka 13-24El Hombre Perfecto

Mafundisho juu ya Luka 1-12

R. E. Harlow

$7.00

  • SKU: 140
  • ISBN: 978-0-88873-140-1
  • Page Count: 112
  • Language: Congo Swahili
  • Format: Paperback
  • Binding: Perfect Binding
  • Category: Bible Study
  • Topics:  Luke

Kitabu cha kwanza ni Mafundisho juu ya Luka 1-12

Kitabu cha pili ni Mafundisho juu ya Luka 13-24

SOMA MANENO HAYA!
Mwandishi wa Habari Njema ya tatu alikuwa mganga Luka. Roho Mtakatifu alimwongoza kutuonyeshea Bwana Yesu Kristo kama Mtu Mkamilifu. Bwana Yesu alifanya tu maneno yaliyokuwa mazuri na taratibu kila mara. Ndani ya Habari Njema ya Luka utasoma juu ya mengi ya masemo na matendo ya Bwana wetu.

Lakini Bwana Yesu si Mtu Mkamilifu tu. Yeye ni sawasawa na Mungu kabisa (Waebrania 1:3). Yeye ni Mwana wa Mungu. Unataka kujua Mungu vizuri zaidi? Tazama Bwana Yesu basi, na sikiliza masemo yake. Ukijifunza Habari Njema ya Luka, utajuana na Bwana Yesu vizuri kupita mbele. Utajua Mungu vizuri zaidi.

R. E. Harlow

Robert E. Harlow,a long-time commended worker, went to be with the Lord on March 10, 2003, five days short of his 95th birthday. He was co-founder of Emmaus Bible College, now located in Dubuque, Iowa, and founder, along with his wife, Gertrud, of Everyday Publications, Inc., in Port Colborne, ON. Dr. Harlow wrote more than fifty books, including Come and Dine: New Testament Readings for Every Day (1976). His,Can We Know God? (1958) was the first of a series of books he wrote in simple, "Everyday", English. It has sold some 500,000 copies in more than a dozen languages. A native of Toronto, he was also a missionary in the Belgian Congo.

Related Products

More Titles by R. E. Harlow

Newsletter Sign Up