Translations

Thessalonians: Jesus is Coming AgainThessaloniciens: Jésus Revient

Watesalonika: Yesu Atakuja Tena!

Robert Henry Sykes

$5.50

Barua mbili kwa Watesalonika zilikuwa katikati ya barua za kwanza za Paulo.

Barua mbili kwa Watesalonika zilikuwa katikati ya barua za kwanza za Paulo. Aliziandika majyuma machache tu nyuma ya kuondoka kwake kwa Tesalonika. Zinaonyesha ya kwamba Paulo na waamini hawa wa sasa walipendana sana na zinaonyesha vilevile mapendo yao kwa Bwana Yesu Kristo.

Paulo alifundisha waamini yuu ya kurudi kwa Bwana wakati alipokuwa pamoja nao, lakini sasa aliongeza habari nyingine juu ya neno hili kubwa. Kuna mafundisho ndani ya barua hizi mbili yuu ya kuja kwa Bwana kupeleka Kanisa lake kwake na kurudi kwake duniani mara ya pili tasiyosoma ndani ya vitabu vingine vya Agano Jipya.

Robert Henry Sykes

Robert Henry Sykes was born in Michigan and served in the business world for many years. He and his wife, Wilma, were commissioned by their home church in Grand Rapids for missionary work in Angola. Now living in Montana, Bob Sykes is busy in a Bible teaching and church planting ministry.

Related Products

More Titles by Robert Henry Sykes

Newsletter Sign Up