Translations

Ezra, Nehemiah, Esther; The Scholar, the Governor, the Queen

Mwandishi, Liwal, Malkia
Mafundisho juu ya Ezra, Nehemia na Esiteri

Jean Dougan

$8.75

Kuna maneno ya kushangaza kabisa ndani ya shairi la kwanza la kitabu cha Ezra, ndiyo haya: “Bwana akasukuma roho ya Kiro, mfalme wa Persia.” Kwa nini Bwana alisukuma roho ya mfalme mpagano?

Kuna maneno ya kushangaza kabisa ndani ya shairi la kwanza la kitabu cha Ezra, ndiyo haya: “Bwana akasukuma roho ya Kiro, mfalme wa Persia.” Kwa nini Bwana alisukuma roho ya mfalme mpagano?

Wayuda walihamishwa kwa Babeli. Kitabu hiki kiliandikwa wakati walipokwisha kukaa pale kwa miaka 70. Kwa nini Bwana aliacha watu wake kuwa wafungwa kwa muda huu mrefu?

Historia ya taifa la lsraeli ilianza na Abrahamu.

Abrahamu alikuwa mmoja wa watu waliojulikana zaidi ndani ya Biblia na mtu wa pekee aliyeitwa “Rafiki wa Mungu” (Yakobo 2:23). Aliishi kwanza katika Uri, ndio mji wa Wakaldea (Mwanzo 11:31), katikati ya watu wasioabudu Mungu. Lakini Mungu alisema naye pale, akamwagiza kuondokea inchi ile na kuachana na watu wa jamaa yake na kwendea inchi nyingine. Mungu alijulisha Abrahamu ya kwamba alikusudi kuanza taifa kubwa kwa njia yake na wazao wake (Mwanzo 12:1-3). Neno namna hii halijatokea bado mbele, lakini Abrahamu alitii Mungu hata hivi, akaondokea inchi yake na kwendea Kanana. Alikuwa na miaka 75 kwa wakati ule, mke wake alikuwa na miaka 65 nao hawakuwa na watoto. Basi namna gani atakuwa mwenye kuanza taifa kubwa? Itawezekana kweli? Lakini Abrahamu aliamini Mungu na alitii Mungu. Aliondokea inchi yake kama Mungu alivyomwagiza, na Mungu alitimiza ahadi yake (Yakobo 2:23), kama anavyofanya kila mara. Kwa sababu ya ajabu Mungu alilofanya Sara alizaa Isaka na taifa kubwa Mungu alilosema juu yake lilianzwa (Mwanzo 21:1-2).

Jean Dougan

Canadian author Jean Dougan (1916-2003), was a home maker, poet, and author. For years she has written poems for Smoke Signals a camp magazine; and every year the words for the camp hymn. These hymns have been published under the title Themes from the Classics. Mrs. Dougan has also contributed to five volumes of The Looking Glass, daily devotional readings for teens. Jean Dougan has drawn many practical lessons from the Living Word of God.

Related Products

More Titles by Jean Dougan

Newsletter Sign Up