Translations

Prove Your Faith - Studies in JamesProuvez Votre Foi

Mafundisho juu ya Barua ya Yakobo: Hakikisha Imani Yako

Gertrud Harlow

$3.50

Kuna mafundisho mengi kwa mwenendo wa Mkristo ndani ya barua hii ndogo.

  • SKU: 110
  • ISBN: 978-0-88873-110-4
  • Page Count: 40
  • Language: Congo Swahili
  • Format: Paperback
  • Binding: Saddle-Stitch Binding
  • Category: Bible Study
  • Topics:  James

Kuna mafundisho mengi kwa mwenendo wa Mkristo ndani ya barua hii ndogo. Mafundisho yake makubwa ni juu ya Imani na Matendo. Mwandishi aliandika kwa watu wale wanaosema wao ni Wakristo. Anataka tujue kwamba haitoshi kusema tu na midomo yetu kwamba tuna imani. Sharti tuhakikishe kwamba tunasema kweli kwa nji ya maneno ambayo tunayafanya na kwa namna tunavyoishi, ndiyo kwa njia ya matendo yetu. Ni kama mwandishi wa barua hii anasema nawe: unasema una imani? Hakikisha ya kwamba unasema kweli.

Lakini barua hii haituagizi tu kuhakikisha kwamba tuna imani ya kweli ndani ya Bwana Yesu Kristo. Inatuambia vilevile namna gani ao kwa njia gani tunaweza kuhakikisha ya kwamba tuko Wakristo wa Kweli.

Gertrud Harlow

Gertrud (Koppel) Harlow was a missionary for 14 years in the Belgian Congo, involved primarily in literature and translation work, before her marriage to Dr. Harlow. She still continues in the work with revisions for Swahili as well as typesetting new French titles.She works from her home office at Park of the Palms, Florida.

Related Products

More Titles by Gertrud Harlow

Newsletter Sign Up