Translations

Desert JourneyMafundisho juu ya Kitabu cha HesabuMafundisho juu ya Kumbukumbu la ToratiNúmeros: Israel en el desiertoDeuteronomio: Los últimos mensajes de MoisésLa Traversée du DésertA Jornado no Deserto

Mafundisho juu ya Kitabu cha Hesabu

R. E. Harlow

$4.50

Kila kitabu ndani ya Biblia kinakusaidia kufahamu kila kitabu kingine. Kitabu cha Hesabu kinatupasha namna Waisraeli walivyosafiri jangwani kwa karibu miaka makumi ine. Kina Mafundisho mengi yanayoweza kukusaidia kwa safari yako hapa duniani kufika siku utakapofika mbinguni.

  • SKU: 177
  • ISBN: 978-0-88873-177-7
  • Page Count: 64
  • Language: Congo Swahili
  • Format: Paperback
  • Binding: Perfect Binding
  • Category: Bible Study
  • Topics:  Numbers

Vitabu vitano vya kwanza vya Biblia vinaitwa SHERIA. Ni msingi wa vitabu vyote vingine ndani ya Biblia. Inafaa kujifunza vitabu hivi vitano pamoja, kimoja nyuma ya kingine. Uki- kwisha kufahamu mafundisho ya vitabu vya Mwanzo, Kutoka na Walawi, endelea na kitabu cha Hesabu, na halafu Torati. Utajifunza ndani ya vitabu hivi maneno mengi mengine juu ya Mungu na mambo ya ajabu anayotendea watu. R.E.H.

R. E. Harlow

Robert E. Harlow,a long-time commended worker, went to be with the Lord on March 10, 2003, five days short of his 95th birthday. He was co-founder of Emmaus Bible College, now located in Dubuque, Iowa, and founder, along with his wife, Gertrud, of Everyday Publications, Inc., in Port Colborne, ON. Dr. Harlow wrote more than fifty books, including Come and Dine: New Testament Readings for Every Day (1976). His,Can We Know God? (1958) was the first of a series of books he wrote in simple, "Everyday", English. It has sold some 500,000 copies in more than a dozen languages. A native of Toronto, he was also a missionary in the Belgian Congo.

Related Products

More Titles by R. E. Harlow

Newsletter Sign Up