Translations

Winning & LosingGanando y perdiendoMafundisho juu ya YosuaVencendo e perdendo

Mafundisho juu ya Waamuzi na Ruta

R. E. Harlow

$4.50

Ndani ya vitabu vya Waamuzi na Ruta tunapata habari za kushinda na kushindwa, baraka na kuanguka.

Ndani ya vitabu vya Waamuzi na Ruta tunapata habari za kushinda na kushindwa, baraka na kuanguka. Wakati Waisraeli walipoacha kufuata Bwana, adui zao walipata nguvu, wakawashinda. Wakati Waisraeli waliporudi karibu na Mungu, Mungu aliwashindisha tena.

Wakristo wingi wanakaa namna hii. Mara nyingine tunasimama na nguvu kwa imani na Bwana anatuwezesha kushinda adui zetu. Mara nyingine imani yetu ni zaifu na tunakwenda mbali na Bwana. Saa ile Mungu hawezi kutushindisha. Vitabu hivi vya Waamuzi na Ruta vitakusaidia kujuana na Mungu vizuri kupita mbele. Vitakufundisha namna gani unaweza kushinda adui zako za roho.

R. E. Harlow

Robert E. Harlow,a long-time commended worker, went to be with the Lord on March 10, 2003, five days short of his 95th birthday. He was co-founder of Emmaus Bible College, now located in Dubuque, Iowa, and founder, along with his wife, Gertrud, of Everyday Publications, Inc., in Port Colborne, ON. Dr. Harlow wrote more than fifty books, including Come and Dine: New Testament Readings for Every Day (1976). His,Can We Know God? (1958) was the first of a series of books he wrote in simple, "Everyday", English. It has sold some 500,000 copies in more than a dozen languages. A native of Toronto, he was also a missionary in the Belgian Congo.

Related Products

More Titles by R. E. Harlow

Newsletter Sign Up