Translations

Why, Lord?El problema de la lujuria

Kwa Nini, Bwana?

Gertrud Harlow

$2.50

Mafundisho Juu ya Taabu na Mateso ya Wakristo.

Tangu siku za Yobu kwa wakati wa Agano la Kale watu wameuliza kwa sababu gani wanapata taabu na kuumia. Watu wote duniani wanapata taabu na bila shaka wote wanafazaika kama ni kwa sababu gani'

Waamini wanajua ya kwamba Mungu anawapenda na kuwachunga na wanaamini ya kwamba maneno haya yote ni kwa baraka yao. Hata hivi ni vizuri kujua mafundisho ya Bibla juu ya taabu na mateso.

Gertrud Harlow

Gertrud (Koppel) Harlow was a missionary for 14 years in the Belgian Congo, involved primarily in literature and translation work, before her marriage to Dr. Harlow. She still continues in the work with revisions for Swahili as well as typesetting new French titles.She works from her home office at Park of the Palms, Florida.

Related Products

More Titles by Gertrud Harlow

Newsletter Sign Up