Translations

King DavidEl rey DavidSamweli na Saulo: Mafundisho juu ya 1 Samweli

Mfalme Daudi: Mafundisho juu ya 2 Samweli

R. E. Harlow

$4.50

Mafundisho juu ya 2 Samweli

Katika 1 Samweli ulisoma juu ya mwanzo wa maisha ya Mfalme Daudi. 2 Samweli kinaendelea na habari za maisha yake.

Mfalme Daudi alikuwa mtu wa Mungu kabisa na alikuwa mzazi wa Bwana Yesu Kristo. Kwa ujana wake alilinda kondoo za baba yake na kujifunza kupiga muziki. Alipenda Mungu sana na aliandika nyimbo nyingi za sifa na maombi kwa Bwana (ndizo zaburi).

Maisha ya Daudi yatakufundisha maneno mengi. Ndani ya 2 Samweli utaona vilevile mifano mengi mazuri sana ya Bwana wetu Yesu Kristo. Ukisoma kitabu hiki pamoja na maombi na kuwaza sana, kitakusaidia kujuana na Mungu kupita mbele.

Soma mashairi machache ya 2 Samweli kila siku. Kwa ukurasa 4 utaona mashairi gani inakupasa kusoma siku ya kwanza, ya pili, ya tatu, vivi hivi. Soma vilevile mafundisho ndani ya kitabu hiki yanayoeleza maana ya mashairi uliyosoma.

R. E. Harlow

Robert E. Harlow,a long-time commended worker, went to be with the Lord on March 10, 2003, five days short of his 95th birthday. He was co-founder of Emmaus Bible College, now located in Dubuque, Iowa, and founder, along with his wife, Gertrud, of Everyday Publications, Inc., in Port Colborne, ON. Dr. Harlow wrote more than fifty books, including Come and Dine: New Testament Readings for Every Day (1976). His,Can We Know God? (1958) was the first of a series of books he wrote in simple, "Everyday", English. It has sold some 500,000 copies in more than a dozen languages. A native of Toronto, he was also a missionary in the Belgian Congo.

Related Products

More Titles by R. E. Harlow

Newsletter Sign Up