Translations

Messengers of Judgment & GloryMensajeros de juicio y de gloriaMensageiros de juizo e de glória

Wajumbe wa Hukumu na Utukufu

Albert E. Horton

$4.75

Mafundisho juu ya Hosea Kufika Malaki

Labda Maandiko ya Hosea kufika Malaki ni sehemu ya Bibla iliyo nguvu zaidi kufahamu, lakini kitabu hiki kitakusaidia sana.

Manabii hawa walikuwa na habari kwa watu wao toka Mungu. Zilikuwa maonyo ya kwamba Mungu atawahukumu kwa sababu yeye ni mwenye haki. Lakini Mungu ni Mungu wa mapendo vilevile, hivi ndani ya maandiko ya manabii hawa kuna ahadi za utukufu kwa wakati wa kuja.

Wajumbe wa Hukumu na Utukufu Unabii wa Hosea kufika Malaki

Manabii walikuwa watu waliosema kwa ajili ya Mungu. Mungu alisema nao, nao walipitisha maneno yake kwa watu. Tunaweza kuona namna gani Mungu alisema kwa njia ya manabii hata kwa wakati wa Agano Jipya. Ndiyo, maneno yote ya Maandiko Matakatifu ni maneno ya Mungu naye aliongoza watu kuyaandika.

Mara nyingi maneno Mungu aliyosema na watu kwa njia ya manabii yalikuwa juu ya mambo yataka- yotokea kwa wakati wa kuja. Kwa sababu hii watu wengi, wakati wanapofikili juu ya unabii wanafikili juu ya vitabu vya manabii, ndivyo vitabu toka Isaya kufika Malaki. Wanaume wale wote walisema maneno ya Mu- ngu, wakionya na wakijulisha watu maneno yataka- yotokea, na habari za hukumu na baraka kwa wakati wa kuja.

Ndani ya kitabu hiki tunataka kufundisha juu ya unabii wa manabii walioandika vitabu vifupi tu. Hata vitabu vyao ni vifupi, ni vyote Neno la Mungu na ni la- zima kwa sisi kuwaza sana juu yao.

Usisome kitabu hiki cha mafundisho peke yake. Sharti usome kwanza kitabu kizima cha unabii una- chotaka kujifunza. Ikiwezekana ukisome mara mbili au tatu au zaidi. Nyuma yake soma mafundisho ndani ya kitabu hiki pamoja na kuangalia tena maandiko ya nabii na omba Roho Mtakatifu kukufundisha.

Albert E. Horton

Mr. Albert E. Horton (1901 - 1996) served God as a missionary in Angola for over fifty years. His work included translating the Bible into the Luvale Language and teaching the Word of God to thousands of believers.

Related Products

More Titles by Albert E. Horton

Newsletter Sign Up