Njia ya Haki: Kitabu 1, 2 & 3

$title Anwani: Njia ya Haki
Mwandishi: P. D. Bramsen
Format: Paperback
Jalada: Perfect Binding
Ukubwa wa kitabu: 5.5x8.5x0.30
Aina: Doctrinal Books
Jambo la kufikiriwa: Jesus Christ, Salvation
Hesabu ya kurasa: 166
Mtoa Vitabu: Everyday Publications Inc.
ISBN-13: 978-0-88873-144-9, 978-0-88873-146-3, 978-0-88873-148-7
Bei: $8.00 (CDN)
Lugha nyingine: French


Kusoma…Kitabu-1   Kusoma…Kitabu-2   Kusoma…Kitabu-3  

Ukitaka kufungua UTANGULIZI, click "Utangulizi" kwa maandiko ya rangi blue. Halafu ukitaka kuendelea na Somo la kwanza, ndiyo "Mungu amesema (Mwanzo) "Mungu amesema" kwa rangi blue na utafika kwa Somo 1. Vivyo hivyo na masomo yote mengine.

Habari na Mafundisho ya Manabii wa Mungu kupatana na Tora, Zaburi na Habari Njema

Matendo ya dini yanasaidia mtu kuonekana kama mwenye haki lakini hayawezi kumfanyiza kuma na haki mbele ya Mungu.

"Njia ya Haki" ni tafsiri ya masomo 100 yaliyoandikwa kwanza kwa lugha ya kiwolof kwa Waislamu wa Senegal, inchi ya Afrique de l'Quest. Masomo haya yanaanza na Tora ya Musa na yanapita ndani ya maandiko ya manabii kuona kusudi kudwa la Mungu kwa watu, na jiba lake lisiloweza kubadilika, kwa ulizo ambalo watu wameulize tangu miaka 4000:

"Mtu anaweza kuwa haki mbele ya Mungu namna gani?" Nabii Yobu

Waislamu wanaamini ya kwamba Mungu amefunua kutaka kwaka kwa njia ya vitabu vitakatifu vine(Tora, Zaburi, injili, Qur'an). Lakini Waislamu Wachachu Habari Njema ya Mungu kupatana na vitabu hivi. Masomo haya 100 yanaweza kuwasaidia sana.

"Katika njia ya haki ni uzima..." Nabii Solomono

 
Go to the Top