Congo Swahili        On-line Order Form

Kuja, Kula!: Kitabu cha Kwanza

By Harlow, R. E., Harlow, Gertrud, Maelezo ya Biblia kwa kila siku
$ 9.50 
(CDN)

Kuja, Kula!: Kitabu cha Pili

By Harlow, R. E., Harlow, Gertrud, Maelezo ya Biblia kwa kila siku
$ 11.50 
(CDN)

Kuja, Kula!: Kitabu cha Tatu

By Harlow, R. E., Harlow, Gertrud, Maelezo ya Biblia kwa kila siku
$ 10.75 
(CDN)

Kuja, Kula!: Kitabu cha Ine

By Harlow, R. E., Harlow, Gertrud, Maelezo ya Biblia kwa kila siku
$ 12.00 
(CDN)

Maelezo ya Biblia

By Scofield, Cyrus Ingerson, Kufuatana na Maelezo ya C.I. Scofield
$ 20.75 
(CDN)

Biblia Kitabu cha Mungu
Revised Congo Swahili Bible

By Bible, , Références Index Biblique
$ 16.25 
(CDN)

Mwanzo

By Harlow, R. E., Mafundisho juu ya Mwanzo
$ 7.75 
(CDN)

Kutoka na Walawi

By Harlow, R. E., Mafundisho juu ya Kutoka na Walawi
$ 7.25 
(CDN)

Mafundisho juu ya Kitabu cha Hesabu

By Harlow, R. E., Kila kitabu ndani ya Biblia kinakusaidia kufahamu kila kitabu kingine. Kitabu cha Hesabu kinatupasha namna Waisraeli walivyosafiri jangwani kwa karibu miaka makumi ine. Kina Mafundisho mengi yanayoweza kukusaidia kwa safari yako hapa duniani kufika siku utakapofika mbinguni.
$ 4.50 
(CDN)

Mafundisho juu ya Kumbukumbu la Torati

By Harlow, R. E., Sehemu kubwa ya kitabu cha Kumbukumbu la Torati ni hotuba tatu za Musa. Ndani ya hotuba hizi alikumbusha Waisraeli mafundisho makubwa ya Sheria waliyokwisha kuipokea mbele. Alieleza maana yake wazi zaidi, hata kuongeza maneno mengine.
$ 4.50 
(CDN)

Mafundisho juu ya Yosua

By Harlow, R. E., Ni Mungu aliyeingiza watu wake Israeli ndani ya inchi ya Kanana.
$ 4.25 
(CDN)

Mafundisho juu ya Waamuzi na Ruta

By Harlow, R. E., Ndani ya vitabu vya Waamuzi na Ruta tunapata habari za kushinda na kushindwa, baraka na kuanguka.
$ 4.50 
(CDN)

Samweli na Saulo: Mafundisho juu ya 1 Samweli

By Harlow, R. E., Mafundisho juu ya 1 Samweli
$ 5.25 
(CDN)

Mafundisho ya Ruta

By Harlow, Gertrud, Una rafiki anayeitwa Ruta?
$ 4.25 
(CDN)

Mfalme Daudi: Mafundisho juu ya 2 Samweli

By Harlow, R. E., Mafundisho juu ya 2 Samweli
$ 4.50 
(CDN)

Mwandishi, Liwal, Malkia
Mafundisho juu ya Ezra, Nehemia na Esiteri

By Dougan, Jean, Kuna maneno ya kushangaza kabisa ndani ya shairi la kwanza la kitabu cha Ezra, ndiyo haya: “Bwana akasukuma roho ya Kiro, mfalme wa Persia.” Kwa nini Bwana alisukuma roho ya mfalme mpagano?
$ 8.75 
(CDN)

Taabu ya Yobu:
Mafundisho juu ya Kitabu cha Yobu

By Harlow, R. E., Ndiyo, Yobu alipata taabu. Watu wale duniani wanapata taabu.
$ 5.75 
(CDN)

Zaburi: Mafundisho juu ya Kitabu Cha

By Harlow, R. E., Mafundisho juu ya Zaburi
$ 9.25 
(CDN)

Vitabu Vya Manabii Kitabu 1 - Mafundisho juu ya Isaya

By MacDonald, William,
$ 4.00 
(CDN)

Vitabu Vya Manabii Kitabu 2 - Mafundisho juu ya Yeremia na Maombolezo

By MacDonald, William, Mafundisho juu ya Yeremia na Maombolezo
$ 3.25 
(CDN)

Ezekieli na Danieli - Vitabu Vya Manabii Kitabu 3

By MacDonald, William, Mafundisho juu ya Ezekieli na Danieli
$ 3.75 
(CDN)

Wajumbe wa Hukumu na Utukufu

By Horton, Albert E., Mafundisho juu ya Hosea Kufika Malaki
$ 4.75 
(CDN)

Habari Njema ya Matayo Juu ya: Yesu Mfalme

By Sykes, Robert Henry, Matthew
$ 11.75 
(CDN)

Mafundisho ya Agano Jipya

By MacDonald, William, Mwandishi wa Maandiko Matakatifu ni Mungu mwenyewe, na hakuna mtu anayeweza kujua maneno yote yaliyo ndani ya Agano Jipya.
$ 15.25 
(CDN)

Habari Njema ya Marko

By Dougan, Jean, Habari Njema Yoane Marko aliyoandika ni fupi kupita Habari Njema ya Matayo, Luka au Yoane, lakini hata hivi aliandika juu ya maneno mengine ambayo wale waandishi watatu wengine hawakuandika juu yao.
$ 5.75 
(CDN)

Mafundisho juu ya Luka 13-24

By Harlow, R. E., Mwandishi wa Habari Njema ya tatu alikuwa mganga Luka.
$ 7.00 
(CDN)

Mafundisho juu ya Luka 1-12

By Harlow, R. E.,
$ 7.00 
(CDN)

Mafundisho juu ya Yoane: Maji ya Uzima: Kitabu 1 Sura 1-9

By Harlow, Gertrud, Mungu ametupa sisi Habari njema ine kutupasha juu ya maisha ya Mwokozi wetu Hapa duniani.
$ 5.00 
(CDN)

Mafundisho juu ya Yoane: Maji ya Uzima: Kitabu 2 Sura 10-21

By Harlow, Gertrud, Mungu ametupa sisi Habari Njema ine kutupasha juu ya maisha ya Mwokozi wetu hapa duniani.
$ 6.00 
(CDN)

Yoane
Revised Congo Swahili Book of John

By Bible, , Yesu akawaambia: "Mimi ni mkate wa uzima"
$ 3.75 
(CDN)

Kitabu cha Matendo: Kukua na kuenea kwa Kanisa

By Harlow, Gertrud, Nini ilitokea wakati Bwana Yesu Kristo alipokwisha kurudi mbingini? Tunasoma habari hizi ndani ya kitabu cha Matendo.
$ 9.25 
(CDN)

Mafundisho juu ya Waroma 1-8: Hai na Huru

By Harlow, R. E., Paulo aliandika baruna nyingi kwa Wakristo na makanisa.
$ 5.75 
(CDN)

Mafundisho juu ya Waroma 9-16: Hai na Huru

By Harlow, R. E., Kitabu hiki kinaeleza maana ya sur 9-16 za barua ya Paulo kwa Waroma.
$ 5.25 
(CDN)

Barua za Agano Jipya

By Horton, Albert E., Kitabu hiki kiliandikwa zaida kwa watu wa Afrique.
$ 8.50 
(CDN)

Mafundisho juu ya Biblia AGANO JIPYA: Waroma - Wakolosayi

By MacDonald, William,
$ 4.35 
(CDN)
Romans to Colossians

Wakorinto 1: Kanisa Lisilo Kamilifu

By Harlow, R. E.,
$ 8.50 
(CDN)

Wakorinto 2: Paulo na Kanisa kwa Korinto

By Harlow, R. E., Namna ya Utumishi wa Mutuma Paulo.
$ 5.75 
(CDN)

Mafundisho juu ya Barua kwa Wagalatia

By Sykes, Robert Henry, Mbele ya kujifunza juu ya barua ya Paulo kwa Wagalatia tujikumbushe habari za safari za kuhubiri ambazo Paulo alifanya kwani ndani ya safari hizi tatu zote Paulo alifikia Galatia.
$ 4.50 
(CDN)

Mafundisho juu ya Waefeso

By Harlow, R. E., Ndani ya barua ya Paulo kwa Waefeso Mungu anatuonyeshea shauri lake la ajabu kwa watu wake.
$ 3.75 
(CDN)

Mafundisho juu ya Wafilipi

By Sykes, Robert Henry, Barua ya Paulo kwa waamini wa Filipi ni barua ya mapendo.
$ 4.50 
(CDN)

Mafundisho juu ya Wakolosayi

By Harlow, R. E., Kwa wakati wa ufalme wa Waroma mji wa Kolosayi ulikuwa ndani ya wilaya iliyoitwa Asia.
$ 3.50 
(CDN)

Watesalonika: Yesu Atakuja Tena!

By Sykes, Robert Henry, Barua mbili kwa Watesalonika zilikuwa katikati ya barua za kwanza za Paulo.
$ 5.50 
(CDN)

1 na 2 Timoteo na Tito

By Sykes, Philip F., Sykes, Robert Henry, Je, Mungu anaweka roho juu ya vijana (jeunesse)? Kabisa!
$ 5.75 
(CDN)

Mtumwa Mkimbizi

By Sykes, Robert Henry, Hii ni barua fupi zaidi ya barua za Paulo ndani ya Biblia. Paulo aliiandika kwa Filemono juu ya Onesimo.
$ 4.25 
(CDN)

Usirudi Nyuma

By Harlow, R. E., Wakristo katika yerusalema walijaribiwa sana kurudi nymuma na kushikamana tena na dini ya Wayuda.
$ 6.25 
(CDN)

Mafundisho juu ya Barua ya Yakobo: Hakikisha Imani Yako

By Harlow, Gertrud, Kuna mafundisho mengi kwa mwenendo wa Mkristo ndani ya barua hii ndogo.
$ 3.50 
(CDN)

Barua Mbili za Petro

By Harlow, R. E., Miaka mingi imepita tangu Mungu alipoongoza Petro kuandika barua zake mbili.
$ 3.75 
(CDN)

Barua za Yoane na Yuda

By Sykes, Robert Henry, Yoane alikuwa kijana wakati alipokutana na Bwana Yesu mara ya kwanza.
$ 4.50 
(CDN)

Ufunuo: Mfalme Atakuja

By Harlow, R. E., Ufunuo ni kitabu cha mwisho cha Biblia, kitabu cha faida kubwa.
$ 8.75 
(CDN)

Inapasa Mkristo Kushika Sabato?

By Harris, F. Donald, Watu wengi wanafazaika juu ya neno hili, lakini Mkristo wa kweli anayejua Kitabu cha Mungu anaweza kujibu ulizo hili.
$ 3.75 
(CDN)

Kwa Nini, Bwana?

By Harlow, Gertrud, Mafundisho Juu ya Taabu na Mateso ya Wakristo.
$ 2.50 
(CDN)

Kanisa la Agano Jipya

By Harlow, R. E., Ndani ya Biblia, Neno takatifu la Mungu. Biblia iliandikwa kwa maongozi ya Roho Mtakatifu nayo peke yake ina amri kutufundisha namna gani tunaweza kuanza kanisa ao kuliongoza. Na Biblia inatosha kabisa kutuonyeshea mapenzi ya Mungu kwa maneno haya.
$ 4.50 
(CDN)

Kusanyiko la Wakristo-Kanisa ni Nini?

By Cullen, Robert, Wolcott, M.N., “lakini takaseni Kristo kuwa Bwana mioyoni mwenu, mukiwa tayari wakati wote kujibu kila mtu anayeuliza habari za tumaini lililo ndani yenu; lakini kwa upole na kuogopa” (1 Petro 3:15).
$ 2.50 
(CDN)

Uongozi Katika Kanisa

By Rayhbuck, Roger, Kawaida ya Uongozi Katika Biblia
$ 2.75 
(CDN)

Mtumishi Mnyenyekevu

By Wolcott, M.N., Utumishi wa Wakubwa Katika Ufalme wa Mungu
$ 2.50 
(CDN)

Karamu ya ukumbusho wa Bwana

By Harlow, R. E., Meza ya Bwana ni karamu ya ukumbusho.
$ 2.50 
(CDN)

Kristo Alipenda Kanisa

By MacDonald, William, "Christ love the Church"
"Kristo alivyopenda kanisa, na kujitoa mwenyewe kwa ajili yake."
$ 4.50 
(CDN)

Mimi Kwanza?

By Long, David Boyd, Tuwaze juu ya Bwana Yesu Kristo kama mfano wetu kwa sababu haifai kwetu kujifananisha na Wakristo wengine.
$ 5.00 
(CDN)

Maendeleo ya Kanisa

By Harlow, R. E., Mungu amesema na watu ndani ya Biblia takatifu.
$ 5.50 
(CDN)

Tunaweza Kujua Mungu?

By Harlow, R. E., Kitabu hiki kinafundisha ya kwamba Tunaweza kujuna Mungu, na kinatujulisha mambo mengi juu ya mungu.
$ 5.50 
(CDN)

Yesu Kristo, Mungu Mwana

By Harlow, R. E., Milele ni muda mrefu sana. Ni mrefu kupita miaka elfu moja. Hatuwezi kupima urefu wa milele.
$ 4.50 
(CDN)

Mifano ya Kristo

By Deans, William A., Katika Agano la Kale
$ 4.50 
(CDN)

Tukitazama Yesu

By Monod, Theodore, Maneno mawili tu, lakini ndani ya maneno haya mawili inafichwa siri nzima ya maisha ya baraka.
$ 2.50 
(CDN)

Njia ya Haki: Kitabu 1

By Bramsen, Paul D., Habari Njema kwa Waislamu
Matendo ya dini yanasaidia mtu kuonekana kama mwenye haki lakini hayawezi kumfanyiza kuwa na haki mbele ya Mungu.
$ 11.00 
(CDN)

Njia ya Haki: Kitabu 2

By Bramsen, Paul D., Habari Njema kwa Waislamu
Matendo ya dini yanasaidia mtu kuonekana kama mwenye haki lakini hayawezi kumfanyiza kuwa na haki mbele ya Mungu.
$ 9.50 
(CDN)

Njia ya Haki: Kitabu 3

By Bramsen, Paul D., Habari Njema kwa Waislamu
Matendo ya dini yanasaidia mtu kuonekana kama mwenye haki lakini hayawezi kumfanyiza kuwa na haki mbele ya Mungu.
$ 14.25 
(CDN)

Mambo Yanayokuja: Mafundisho juu ya Unabii: Masomo 7-12

By Harlow, R. E., Kitabu hiki kinaendelea na mafundisho uliyopata ndani ya Kitabu 1 (Masomo 1-6) cha "Mafundisho juu ya Unabii". Ndani ya Masomo 7-12 ya kitabu hiki cha pili utajifunza maneno mengi zaidi juu ya Mambo yanayokuja.
$ 6.50 
(CDN)

Wokovu wa Milele

By Harlow, R. E., Mtu anaweza kuokolewa sku ya Bwana na kupotea tena siku ya kazi moja?
Mungu anampa mtu uzima wa milele, kisha anauondoa tena?
unahitaji kulipa mali ngapi kupata zawadi ya Mungu?
$ 5.25 
(CDN)

Mambo Yanayokuja, Mafundisho juu ya unabil -Masomo 1-6

By Harlow, R. E., Kitabu hiki kinaendelea na mafundisho uliyopata ndani ya Kitabu 1 (Masomo 1-6) cha "Mafundisho juu ya Unabii". Ndani ya Masomo 7-12 ya kitabu hiki cha pili utajifunza maneno mengi zaidi juu ya Mambo yanayokuja.
$ 7.00 
(CDN)

Omba kwa Jina Langu

By Harlow, Gertrud, "Na mukiomba lo lote kwa jina lanu, nitalifanya, Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Kama mukiomba neno gani kwa jina langu nitalifanya." Yoane 14.13-14
$ 3.00 
(CDN)

Roho Wazuri na Wabaya

By Long, David Boyd, Biblia Inafundisha Nini juu ya Roho?
$ 2.75 
(CDN)

Maziwa Kwa Waamini Wa Sasa

By Tatham, C. Ernest, Tunaweza kuipata namna gani?
$ 4.25 
(CDN)

Safari Wapi?

By Sykes, Robert Henry, Unafikiri huna safari?
$ 2.25 
(CDN)

Mashairi Kwa Wakati Wa Mateso

By Harlow, Gertrud, Kuficha Moyoni Sasa!
$ 2.00 
(CDN)

Nyimbo za Mungu na Nyimbo za Kuabudu

By Authors, Various, Hymn Book
$ 18.50 
(CDN)

Rudi Kwa Mungu

By MacDonald, William, Nini Ilipata Kahindo?
$ 2.50 
(CDN)

Nuru kwa Kila Siku

By Bagster, Samuel, Daily Light
Thousands have experienced the spiritual rewards of daily reading these inspiring Scripture selections.
$ 20.00 
(CDN)

Tafuta Maandiko

By Neno La Imani, , Helpful Message outlines.
$ 3.50 
(CDN)

Shauri la Mungu kwa Wanawake Ambao Wanampenda

By Barnett, Anne, Mungu ana kusudi ndani ya maneno yote ambayo anafanya.
$ 2.75 
(CDN)

Jua Kitabu: Tazamo la Biblia

By Johnston, E.A., Kusudi la kitabu hiki ni kusaidia msomaji kujua maneno makubwa yaliyo ndani ya kila kitabu cha Biblia. Ni Tazamo, si Tafsiri (maana yake hakielezi maana ya maneno yote yaliyoandikwa ndani ya kitabu chenyeweh.
$ 8.50 
(CDN)

Lugha: Kwa Wakati wa Sasa?

By Long, David Boyd, Ni sharti kwa maneno yote Mkristo anayofanya au kusikia rohoni kupatana na maneno Biblia inayofundisha. Sharti tupime maneno yote na Maandiko Matakatifu. Soma 1 Yoane 2:3-5.
$ 3.00 
(CDN)

Visa Vya Biblia: Sehemu ya Kwanza

By Schooland, Marian, Habari waziwazi za Agano la Kale pamoja na mifano
$ 12.50 
(CDN)

Visa Vya Biblia: Sehemu ya Pili

By Schooland, Marian, Habari waziwazi za Agano Jipya pamoja na mifano
$ 10.25 
(CDN)

Mazungumuzo kwa Watoto

By Taylor, Kenneth N.,
$ 9.25 
(CDN)

Kulea Watoto Wetu Kwa Mungu

By Stough, Betty, Fundisha mtoto katika njia ambayo inampasa kwenda, na hata wakati atakapokuwa mzee, hataiacha. Mezali 2:6
$ 3.00 
(CDN)