Doctrinal   Congo Swahili

Maelezo ya Biblia

By Scofield, Cyrus Ingerson, Kufuatana na Maelezo ya C.I. Scofield
$ 20.75 
(CDN)

Inapasa Mkristo Kushika Sabato?

By Harris, F. Donald, Watu wengi wanafazaika juu ya neno hili, lakini Mkristo wa kweli anayejua Kitabu cha Mungu anaweza kujibu ulizo hili.
$ 3.75 
(CDN)

Kanisa la Agano Jipya

By Harlow, R. E., Ndani ya Biblia, Neno takatifu la Mungu. Biblia iliandikwa kwa maongozi ya Roho Mtakatifu nayo peke yake ina amri kutufundisha namna gani tunaweza kuanza kanisa ao kuliongoza. Na Biblia inatosha kabisa kutuonyeshea mapenzi ya Mungu kwa maneno haya.
$ 4.50 
(CDN)

Kusanyiko la Wakristo-Kanisa ni Nini?

By Cullen, Robert, Wolcott, M.N., “lakini takaseni Kristo kuwa Bwana mioyoni mwenu, mukiwa tayari wakati wote kujibu kila mtu anayeuliza habari za tumaini lililo ndani yenu; lakini kwa upole na kuogopa” (1 Petro 3:15).
$ 2.50 
(CDN)

Uongozi Katika Kanisa

By Rayhbuck, Roger, Kawaida ya Uongozi Katika Biblia
$ 2.75 
(CDN)

Mtumishi Mnyenyekevu

By Wolcott, M.N., Utumishi wa Wakubwa Katika Ufalme wa Mungu
$ 2.50 
(CDN)

Karamu ya ukumbusho wa Bwana

By Harlow, R. E., Meza ya Bwana ni karamu ya ukumbusho.
$ 2.50 
(CDN)

Kristo Alipenda Kanisa

By MacDonald, William, "Christ love the Church"
"Kristo alivyopenda kanisa, na kujitoa mwenyewe kwa ajili yake."
$ 4.50 
(CDN)

Mimi Kwanza?

By Long, David Boyd, Tuwaze juu ya Bwana Yesu Kristo kama mfano wetu kwa sababu haifai kwetu kujifananisha na Wakristo wengine.
$ 5.00 
(CDN)

Maendeleo ya Kanisa

By Harlow, R. E., Mungu amesema na watu ndani ya Biblia takatifu.
$ 5.50 
(CDN)

Tunaweza Kujua Mungu?

By Harlow, R. E., Kitabu hiki kinafundisha ya kwamba Tunaweza kujuna Mungu, na kinatujulisha mambo mengi juu ya mungu.
$ 5.50 
(CDN)

Yesu Kristo, Mungu Mwana

By Harlow, R. E., Milele ni muda mrefu sana. Ni mrefu kupita miaka elfu moja. Hatuwezi kupima urefu wa milele.
$ 4.50 
(CDN)

Mifano ya Kristo

By Deans, William A., Katika Agano la Kale
$ 4.50 
(CDN)

Njia ya Haki: Kitabu 1

By Bramsen, Paul D., Habari Njema kwa Waislamu
Matendo ya dini yanasaidia mtu kuonekana kama mwenye haki lakini hayawezi kumfanyiza kuwa na haki mbele ya Mungu.
$ 11.00 
(CDN)

Njia ya Haki: Kitabu 2

By Bramsen, Paul D., Habari Njema kwa Waislamu
Matendo ya dini yanasaidia mtu kuonekana kama mwenye haki lakini hayawezi kumfanyiza kuwa na haki mbele ya Mungu.
$ 9.50 
(CDN)

Njia ya Haki: Kitabu 3

By Bramsen, Paul D., Habari Njema kwa Waislamu
Matendo ya dini yanasaidia mtu kuonekana kama mwenye haki lakini hayawezi kumfanyiza kuwa na haki mbele ya Mungu.
$ 14.25 
(CDN)

Mambo Yanayokuja: Mafundisho juu ya Unabii: Masomo 7-12

By Harlow, R. E., Kitabu hiki kinaendelea na mafundisho uliyopata ndani ya Kitabu 1 (Masomo 1-6) cha "Mafundisho juu ya Unabii". Ndani ya Masomo 7-12 ya kitabu hiki cha pili utajifunza maneno mengi zaidi juu ya Mambo yanayokuja.
$ 6.50 
(CDN)

Wokovu wa Milele

By Harlow, R. E., Mtu anaweza kuokolewa sku ya Bwana na kupotea tena siku ya kazi moja?
Mungu anampa mtu uzima wa milele, kisha anauondoa tena?
unahitaji kulipa mali ngapi kupata zawadi ya Mungu?
$ 5.25 
(CDN)

Omba kwa Jina Langu

By Harlow, Gertrud, "Na mukiomba lo lote kwa jina lanu, nitalifanya, Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Kama mukiomba neno gani kwa jina langu nitalifanya." Yoane 14.13-14
$ 3.00 
(CDN)

Roho Wazuri na Wabaya

By Long, David Boyd, Biblia Inafundisha Nini juu ya Roho?
$ 2.75 
(CDN)

Tafuta Maandiko

By Neno La Imani, , Helpful Message outlines.
$ 3.50 
(CDN)