Vitabu Vya Manabii Kitabu 1 - Mafundisho juu ya Isaya

Everyday English   Spanish   


By William MacDonald

Vitabu Vya Manabii Kitabu 1 -
 Mafundisho juu ya IsayaTitle: Vitabu Vya Manabii Kitabu 1 - Mafundisho juu ya Isaya
Author: W. MacDonald
Language: Congo Swahili
Format: Paperback
Binding: Perfect Binding
Book Size: 5.5x8.5x0.15''
Category: Bible Study
Topic: Isaiah
Page Count: 52
Publisher: Everyday Publications Inc.
ISBN-13: 978-0-88873-184-5
Item Code:  184
Other Languages: EEES
$ 4.00 
(CDN)

Description

Vitabu 17 vya mwisho vya Agano la Kale, ndivyo Isaya kufika Malaki, viliandikwa na manabii.

Katika Biblia nabii ndiye mtu anayesema kwa ajili ya Mungu. Mungu aliita watu wengine kuwa manabii yake wakati watu wake Waisraeli walipokwisha kuingia ndani ya zambi na kwenda mbali naye. Manabii waliwaambia watu ya kwamba walikuwa wamekosea Mungu na ya kwamba atawahukumu kama wasipotubu na kurudi kwake.

Muda wa manabii ulianza na Samweli wakati makuhani wasipotimiza mapenzi ya Mungu. Uliendelea kufika wakati Waisraeli walipotoka Babeli pahali walipokuwa wafungwa, na kurudia inchi yao na kujenga hekalu tena kwa lema-Yerusa.

Wengine wa manabii wa Agano la Kale hawakuandika vitabu vya Biblia, lakini walisema Neno la Mungu kwa kinywa.

Nyuma ya kufa kwa Mfalme Solomono ufalme ulitengwa kwa sehemu mbili. Sehemu moja iliitwa Israeli na ya pili Yuda.

Nyuma yake Roho Mtakatifu aliongoza wengine wa manabii kuandika sehemu ya mafundisho yao. Nini ilitokea katika Israeli na Yuda kwa wakati wa manabii hawa? Unaweza kusoma historia ya Israeli na Yuda ndani ya vitabu vya 1 na 2 Wafalme, 1 na 2 Mambo, Ezra na Nehemiah. Ona vilevile kurasa 7-11 za kitabu hiki.

Kitabu cha kwanza ni juu ya unabii wa Isaya...
Isaya - Vitabu Vya Manabii Kitabu 1

Kitabu cha pili ni juu ya Yeremia na Maombolezo...
Yeremia na Maombolezo - Uitabu uya Manabii Kitabu 2

Kitabu cha tatu ni juu ya Ezekieli na Danieli...
Ezekiel na Danieli - Vitabu Vya Manabii Kitabu 3

Biography of 

Mr. William MacDonald was a man of varied experience: U.S. Navy, Bible School president, international conference speaker and author.
His biggest production is the Believer's Bible Commentary, Old Testament and New Testament (over 1200 pages each). More…


Other Titles by William MacDonald


Bible

  Spiritual Growth

  Bible Study

  Doctrinal

  Youth Books

   Devotional Books

    Missionary Books

     Other Books

      Hymn Books