Mafundisho juu ya Luka 13-24

Everyday English   Congo Swahili   Spanish   

Mwandishi wa Habari Njema ya tatu alikuwa mganga Luka.
By R. E. Harlow

Mafundisho juu ya Luka 13-24Title: Mafundisho juu ya Luka 13-24
Author: R. Harlow
Language: Congo Swahili
Format: Paperback
Binding: Perfect Binding
Book Size: 5.5x8.5x0.25
Category: Bible Study
Topic: Luke
Page Count: 116
Publisher: Everyday Publications Inc.
ISBN-13: 978-0-88873-141-8
Item Code:  141
Other Languages: EESWES
$ 7.00 
(CDN)

Description

Mwandishi wa Habari Njema ya tatu alikuwa mganga Luka. Roho Mtakatifu alimwongoza kutuonyeshea Bwana Yesu Kristo kama Mtu Mkamilifu. Bwana Yesu alifanya tu maneno yaliyokuwa mazuri na taratibu kila mara. Ndani ya Habari Njema ya Luka utasoma juu ya mengi ya masemo na matendo ya Bwana wetu.

Lakini Bwana Yesu si Mtu Mkamilifu tu. Yeye ni sawasawa na Mungu kabisa (Waebrania 1:3). Yeye ni Mwana wa Mungu. Unataka kujua Mungu vizuri zaidi? Tazama Bwana Yesu basi, na sikiliza masemo yake. Ukijifunza habari Njema ya Luka, utajuana na Bwana Yesu vizuri kupita mbele. Utajua Mungu vizuri zaidi.

Kitabu cha kwanza ni Mafundisho juu ya Luka 1-12

Kitabu cha pili ni Mafundisho juu ya Luka 13-24

Biography of 

R.E. Harlow served as a missionary in Africa and as co-founder and first principal of the Emmaus Bible School. He has written a number of books and courses about the Bible. The best known is Can We Know God?  More…


Other Titles by R. E. Harlow


Bible

  Spiritual Growth

  Bible Study

  Doctrinal

  Youth Books

   Devotional Books

   Missionary Books

    Other Books

     Hymn Books