Mafundisho juu ya Waroma 9-16: Hai na Huru

Everyday English   French   Congo Swahili   

Kitabu hiki kinaeleza maana ya sur 9-16 za barua ya Paulo kwa Waroma.
By R. E. Harlow

Mafundisho juu ya Waroma 9-16: Hai na HuruTitle: Mafundisho juu ya Waroma 9-16: Hai na Huru
Author: R. Harlow
Language: Congo Swahili
Format: Paperback
Binding: Perfect Binding
Book Size: 5.5x8.5x0.10
Category: Bible Study
Topic: Romans
Page Count: 78
Publisher: Everyday Publications Inc.
ISBN-13: 978-0-88873-192-0
Item Code:  192
Other Languages: EEFRSW
$ 5.25 
(CDN)

Description

Kitabu hiki kinaeleza maana ya sura 9-16 za barua ya Paulo kwa Waroma. Tunataraji umesoma kitabu cha Mafundisho juu ya Waroma 1-8 mbele.

Njia nzuri zaidi kusoma Biblia ni kukuisoma kila siku. Utahitaji miezi miwili tu kusoma sura 9 kufika 16 za Waroma na maelezo ndani ya kitabu hiki kama ukifuata utaratibu wa kusoma kwa ukurasa 5.

Kwanza soma mashairi machache ya barua kwa Waroma, kisha soma maelezo ya mashairi yenyewe ndani ya kitabu hiki. Kwa ukurasa 4 utaona mashairi ambayo inakupasa kusoma siku kwa siku. Siku ya kwanza ya mwezi soma Waroma 9:1-2. Kwa ukurasa 7 utaona hesabu ndogo 1/1 kwa upande wa kushoto. Hesabu hizi zinakuonyeshea pahali gani inapokupasa kuanza kusoma siku ya kwanza. Siku ya pili soma Waroma 9:3-5 na kwa kurassa 8 na 9 soma maelezo ya mashairi haya kuanza na 1/2.

Kwa siku nyingine hakuna mashairi kwa wewe kusoma, lakini kuna maulizo ambayo inakupasa kujibu. Kuna maulizo kwa mwisho wa kila sura ya barua kwa Waroma. Maulizo haya yataonyesha kama ulifahamu vizuri maneno uliyosoma. Jibu maulizo haya juu ya karatasi nyingine, kisha angalia kwa kurasa 73-78 kuona kama ulijibu vizuri. Tunataraji utaweza kufahamu maneno yote vizuri na ya kwamba Bwana atakufurahisha na kukubariki rohoni wakati unapojifunza Kitabu chake.

Biography of 

R.E. Harlow served as a missionary in Africa and as co-founder and first principal of the Emmaus Bible School. He has written a number of books and courses about the Bible. The best known is Can We Know God?  More…


Other Titles by R. E. Harlow


Bible

  Spiritual Growth

  Bible Study

  Doctrinal

  Youth Books

   Devotional Books

   Missionary Books

    Other Books

     Hymn Books