Usirudi Nyuma

Everyday English   Portuguese   Spanish   French   

Wakristo katika yerusalema walijaribiwa sana kurudi nymuma na kushikamana tena na dini ya Wayuda.
By R. E. Harlow

Usirudi NyumaTitle: Usirudi Nyuma
Author: R. Harlow
Language: Congo Swahili
Format: Paperback
Binding: Perfect Binding
Book Size: 5.5x8.5x0.25
Category: Bible Study
Topic: Hebrews
Page Count: 96
Publisher: Everyday Publications Inc.
ISBN-13: 978-0-88873-113-5
Item Code:  113
Other Languages: EEPTESFR
$ 6.25 
(CDN)

Description

Wakristo katika Yerusalema walijaribiwa sana kurudi nyuma na kushikamana tena na dini ya Wayuda. Hekalu, makuhani na zabihu ziliwakokata sana kuachana na imani yao.

Ndani ya barua hii kwa Waebrania Roho Mtakatifu anaonyesha Kristo kama Zabihu mkamilifu na Kuhani Mkubwa wetu. Yeye ni mkubwa kupita makuhani wa Agano la Kale na zabihu walizozitoa tena na tena.

Kwa wakati wa sasa Wakristo wengi wanajaribiwa kurudi nyuma kwa dini na desturi zao za mbele. Roho Mtakatifu anasema na nguvu na sisi sote: Usirudi Nyuma

Biography of 

R.E. Harlow served as a missionary in Africa and as co-founder and first principal of the Emmaus Bible School. He has written a number of books and courses about the Bible. The best known is Can We Know God?  More…


Other Titles by R. E. Harlow


Bible

  Spiritual Growth

  Bible Study

  Doctrinal

  Youth Books

   Devotional Books

   Missionary Books

    Other Books

     Hymn Books