Tunaweza Kujua Mungu?

Everyday English   French   Portuguese   Congo Swahili   

Kitabu hiki kinafundisha ya kwamba Tunaweza kujuna Mungu, na kinatujulisha mambo mengi juu ya mungu.
By R. E. Harlow

Tunaweza Kujua Mungu?Title: Tunaweza Kujua Mungu?
Author: R. Harlow
Language: Congo Swahili
Format: Paperback
Binding: Perfect Binding
Book Size: 5.5x8.5x0.15
Category: Doctrinal
Topic: Jesus Christ
Page Count: 80
Publisher: Everyday Publications Inc.
ISBN-13: 978-0-88873-193-7
Item Code:  193
Other Languages: EEFRPTSW
$ 5.50 
(CDN)

Description

Kitabu hiki kinafundisha ya kwamba tunaweza kujua Mungu, na kinatujulisha Mambo mengi juu ya mungu. Mwandishi wa kitabu hiki alitaja mashairi mengi ndani ya Biblia kuhakikisha maneno aliyoandika. Vizuri usome mashairi haya yote ndani ya Biblia yako pamoja na kuomba Bwana kukufahamisha maana yao. Kama maneno mwandishi wa kitabu hiki aliyoandika yakipatana na maneno unayosoma ndani ya Biblia, amini maneno yenyewe. Kama Biblia ikikuagiza kufanya kitu fulani, tii maagizo haya. Ukijifunza kweli fulani, toa mashukuru kwa Bwana Mungu na fundisha kweli hii kwa watu wengine vilevile.

Biography of 

R.E. Harlow served as a missionary in Africa and as co-founder and first principal of the Emmaus Bible School. He has written a number of books and courses about the Bible. The best known is Can We Know God?  More…


Other Titles by R. E. Harlow


Bible

  Spiritual Growth

  Bible Study

  Doctrinal

  Youth Books

   Devotional Books

   Missionary Books

    Other Books

     Hymn Books