Mafundisho juu ya Kitabu cha Hesabu

Everyday English   Congo Swahili   Congo Swahili   Spanish   Spanish   
French   Portuguese   

Kila kitabu ndani ya Biblia kinakusaidia kufahamu kila kitabu kingine. Kitabu cha Hesabu kinatupasha namna Waisraeli walivyosafiri jangwani kwa karibu miaka makumi ine. Kina Mafundisho mengi yanayoweza kukusaidia kwa safari yako hapa duniani kufika siku utakapofika mbinguni.
By R. E. Harlow

Mafundisho juu ya Kitabu cha HesabuTitle: Mafundisho juu ya Kitabu cha Hesabu
Author: R. Harlow
Language: Congo Swahili
Format: Paperback
Binding: Perfect Binding
Book Size: 5.5x8.5x0.15
Category: Bible Study
Topic: Numbers
Page Count: 64
Publisher: Everyday Publications Inc.
ISBN-13: 978-0-88873-177-7
Item Code:  177
Other Languages: EESWSWESESFRPT
$ 4.50 
(CDN)

Description

Vitabu vitano vya kwanza vya Biblia vinaitwa SHERIA. Ni msingi wa vitabu vyote vingine ndani ya Biblia. Inafaa kujifunza vitabu hivi vitano pamoja, kimoja nyuma ya kingine. Uki- kwisha kufahamu mafundisho ya vitabu vya Mwanzo, Kutoka na Walawi, endelea na kitabu cha Hesabu, na halafu Torati. Utajifunza ndani ya vitabu hivi maneno mengi mengine juu ya Mungu na mambo ya ajabu anayotendea watu. R.E.H.

Biography of 

R.E. Harlow served as a missionary in Africa and as co-founder and first principal of the Emmaus Bible School. He has written a number of books and courses about the Bible. The best known is Can We Know God?  More…


Other Titles by R. E. Harlow


Bible

  Spiritual Growth

  Bible Study

  Doctrinal

  Youth Books

   Devotional Books

   Missionary Books

    Other Books

     Hymn Books