Mafundisho juu ya Kumbukumbu la Torati

Everyday English   Congo Swahili   Congo Swahili   Spanish   Spanish   
French   

Sehemu kubwa ya kitabu cha Kumbukumbu la Torati ni hotuba tatu za Musa. Ndani ya hotuba hizi alikumbusha Waisraeli mafundisho makubwa ya Sheria waliyokwisha kuipokea mbele. Alieleza maana yake wazi zaidi, hata kuongeza maneno mengine.
By Robert Edward Harlow

Mafundisho juu ya Kumbukumbu la ToratiTitle: Mafundisho juu ya Kumbukumbu la Torati
Author: R. Harlow
Language: Congo Swahili
Format: Paperback
Binding: Perfect Binding
Book Size: 5.5x8.5x0.15
Category: Bible Study Books
Topic: Deuteronomy
Page Count: 62
Publisher: Everyday Publications Inc.
ISBN-13: 978-0-88873-178-4
Item Code:  178
Other Languages: EESWSWESESFR
$ 4.50 
(CDN)

Description

Kuna vitabu 66 ndani ya Biblia navyo vyote vinafungana pamoja. Ni lazima kwako kujifunza habari zilizo ndani ya kila kitabu ili uweze kufahamu vizuri maneno Mungu anayosema juu yake mwenyewe ndani ya Maandiko Matakatifu. Kuna maonyo ya faida nyingi ndani ya kitabu cha Kumbukumbu la Torati.

UTANGULIZI

Ndani ya kitabu cha Kumbukumbu la Torati tunaona Waisraeli kwa mpaka wa inchi ambayo Mungu aliahidi kuwapa. Mbele ya kufa kwake Musa aliwakumbusha namna Mungu alivyokuwa ameleta watu wake toka Misri na kuwafikisha kwa mto Yoro- dani, habari za ajabu kabisa. Musa aliwaambia Waisraeli ya kwamba wakitii maagizo ya Mungu watabarikiwa.

Ukifahamu mafundisho ya kitabu cha Kumbu- kumbu la Torati, yatakusaidia kufahamu vitabu vingine vya Musa vilevile, ndivyo Mwanzo, Kutoka, Walawi na Hesabu.

Utapata faida zaidi kama ukisoma kitabu hiki PAMOJA NA kusoma mashairi yote yanayotajwa ndani ya Biblia.

R.E.H.

Biography of 

R.E. Harlow served as a missionary in Africa and as co-founder and first principal of the Emmaus Bible School. He has written a number of books and courses about the Bible. The best known is Can We Know God?  More…


Other Titles by Robert Edward Harlow


Bible Study Books

Doctrinal Books

Youth Books

  Practical/Devotional Books

  Missionary Emphasis Books

   Other Books

    Hymn Books

     Bible