Mafundisho juu ya Yosua

Everyday English   Congo Swahili   Congo Swahili   Portuguese   Spanish   


Ni Mungu aliyeingiza watu wake Israeli ndani ya inchi ya Kanana.
By R. E. Harlow

Mafundisho juu ya YosuaTitle: Mafundisho juu ya Yosua
Author: R. Harlow
Language: Congo Swahili
Format: Paperback
Binding: Perfect Binding
Book Size: 5.5x8.5x0.10
Category: Bible Study
Topic: Joshua
Page Count: 56
Publisher: Everyday Publications Inc.
ISBN-13: 978-0-88873-179-1
Item Code:  179
Other Languages: EESWSWPTES
$ 4.25 
(CDN)

Description

Ni Mungu aliyeingiza watu wake Israeli ndani ya inchi ya Kanana. Kwanza walishinda adui wao waliokaa inchini mbele yao, lakini wakati walipoasi Mungu, adui wao waliwahinda vitani.

Wewe Mukristo unataka kushinda kwa Bwana ndani ya maisha yako ya kila siku? Mafundisho ya kitabu hiki yatakusaidia sana.

SOMA MANENO HAYA

Vitabu vitano vya kwanza vya Biblia vinatupasha juu ya Abrahamu na Musa. Ukikwisha kusoma vitabu hivi, vizuri uende- lee na kitabu cha Yosua.

Kitabu cha Yosua kinaendelea na habari za Waisraeli nyuma ya kufa kwa Musa. Nyuma ya kushinda miaka mingi jangwani waliingia ndani ya Inchi ya Ahadi, ndiyo inchi ya Kanana. Mungu alikuwa pamoja nao, akawasaidia kushinda wingi wa adui zao. Hata hivi hawakudumu kabisa, basi hawakuwafukuza wote pia. Neno hili liliwaondosha karibu na Mungu kwa wakati wa nyuma.

Kuna mafundisho mingi ndani ya kitabu hiki kusaidia watu wa Mungu kwa wakati wa sasa. Wakati unaposoma, omba Bwana kukusaidia kuyafahamu na kuyatii.

R.E. Harlow

Biography of 

R.E. Harlow served as a missionary in Africa and as co-founder and first principal of the Emmaus Bible School. He has written a number of books and courses about the Bible. The best known is Can We Know God?  More…


Other Titles by R. E. Harlow


Bible

  Spiritual Growth

  Bible Study

  Doctrinal

  Youth Books

   Devotional Books

   Missionary Books

    Other Books

     Hymn Books