Njia ya Haki: Kitabu 2

Standard English   French   

Habari Njema kwa Waislamu
Matendo ya dini yanasaidia mtu kuonekana kama mwenye haki lakini hayawezi kumfanyiza kuwa na haki mbele ya Mungu.
By Paul D. Bramsen

Njia ya Haki: Kitabu 2Title: Njia ya Haki: Kitabu 2
Author: P. Bramsen
Language: Congo Swahili
Format: Paperback
Binding: Perfect Binding
Book Size: 5.5x8.5x0.40
Category: Doctrinal
Topic: Jesus Christ, Salvation
Page Count: 166
Publisher: Everyday Publications Inc.
ISBN-13: 978-0-88873-146-3
Item Code:  146
Other Languages: ENFR
$ 9.50 
(CDN)

Books in Series: Njia ya Haki

Description

Matendo ya dini yanasaidia mtu kuonekana kama mwenye haki lakini hayawezi kumfanyiza kuwa na haki mbele ya Mungu.

"Njia ya Haki" ni tafsiri ya masomo 100 yaliyoandikwa kwanza kwa lugha ya kiwolof kwa Waislamu wa Senegal, inchi ya Afrique de l'Quest. Masomo haya yanaanza na Tora ya Musa na yanapita ndani ya maandiko ya manabii kuona kusudi kubwa la Mungu kwa watu, na jiba lake lisiloweza kubadilika, kwa ulizo ambalo watu wameulize tangu miaka 4000:

"Mtu anaweza kuwa haki mbele ya Mungu namna gani?" Nabii Yobu


Waislamu wanaamini ya kwamba Mungu amefunua kutaka kwaka kwa njia ya vitabu vitakatifu vine(Tora, Zaburi, injili, Qur'an). Lakini Waislamu wachache tu wamepata njia kusoma na kufahamu Habari Njema ya Mungu kupatana na vitabu hivi. Masomo haya 100 yanaweza kuwasaidia sana.

"Katika njia ya haki ni uzima..." Nabii Solomono

Biography of 

Paul's writings flow from a passion for the Scriptures and from thousands of dialogues with Muslim friends, neighbors and acquaintances.  More…


Other Titles by Paul D. Bramsen


Bible

  Spiritual Growth

  Bible Study

  Doctrinal

  Youth Books

   Devotional Books

    Missionary Books

     Other Books

      Hymn Books