Congo Swahili        On-line Order Form

Kuja, Kula!: Kitabu cha Kwanza

By Harlow, Robert Edward, Harlow, Gertrud, Maelezo ya Biblia kwa kila siku
$ 9.50 
(CDN)
Old TestamentNew Testament

Kuja, Kula!: Kitabu cha Pili

By Harlow, Robert Edward, Harlow, Gertrud, Maelezo ya Biblia kwa kila siku
$ 11.50 
(CDN)
Old TestamentNew Testament

Kuja, Kula!: Kitabu cha Tatu

By Harlow, Robert Edward, Harlow, Gertrud, Maelezo ya Biblia kwa kila siku
$ 10.75 
(CDN)
Old TestamentNew Testament

Kuja, Kula!: Kitabu cha Ine

By Harlow, Robert Edward, Harlow, Gertrud, Maelezo ya Biblia kwa kila siku
$ 12.00 
(CDN)
Old TestamentNew Testament

Maelezo ya Biblia

By Scofield, Cyrus Ingerson, Kufuatana na Maelezo ya C.I. Scofield
$ 20.75 
(CDN)
Old TestamentNew Testament

Biblia Kitabu cha Mungu
Revised Congo Swahili Bible

By Bible, , Références Index Biblique
$ 4.75 
(CDN)
Old TestamentNew Testament

Mwanzo

By Harlow, Robert Edward, Mafundisho juu ya Mwanzo
$ 7.75 
(CDN)
Genesis

Kutoka na Walawi

By Harlow, Robert Edward, Mafundisho juu ya Kutoka na Walawi
$ 7.25 
(CDN)
ExodusLeviticus

Mafundisho juu ya Kitabu cha Hesabu

By Harlow, Robert Edward, Kila kitabu ndani ya Biblia kinakusaidia kufahamu kila kitabu kingine. Kitabu cha Hesabu kinatupasha namna Waisraeli walivyosafiri jangwani kwa karibu miaka makumi ine. Kina Mafundisho mengi yanayoweza kukusaidia kwa safari yako hapa duniani kufika siku utakapofika mbinguni.
$ 4.50 
(CDN)
Numbers

Mafundisho juu ya Kumbukumbu la Torati

By Harlow, Robert Edward, Sehemu kubwa ya kitabu cha Kumbukumbu la Torati ni hotuba tatu za Musa. Ndani ya hotuba hizi alikumbusha Waisraeli mafundisho makubwa ya Sheria waliyokwisha kuipokea mbele. Alieleza maana yake wazi zaidi, hata kuongeza maneno mengine.
$ 4.50 
(CDN)
Deuteronomy

Mafundisho juu ya Yosua

By Harlow, Robert Edward, Ni Mungu aliyeingiza watu wake Israeli ndani ya inchi ya Kanana.
$ 4.25 
(CDN)
Joshua

Mafundisho juu ya Waamuzi na Ruta

By Harlow, Robert Edward, Ndani ya vitabu vya Waamuzi na Ruta tunapata habari za kushinda na kushindwa, baraka na kuanguka.
$ 4.50 
(CDN)
JudgesRuth

Samweli na Saulo: Mafundisho juu ya 1 Samweli

By Harlow, Robert Edward, Mafundisho juu ya 1 Samweli
$ 5.25 
(CDN)
Judges1 Samuel

Mafundisho ya Ruta

By Harlow, Gertrud, Una rafiki anayeitwa Ruta?
$ 4.25 
(CDN)
Ruth

Mfalme Daudi: Mafundisho juu ya 2 Samweli

By Harlow, Robert Edward, Mafundisho juu ya 2 Samweli
$ 4.50 
(CDN)
2 Samuel

Mwandishi, Liwal, Malkia
Mafundisho juu ya Ezra, Nehemia na Esiteri

By Dougan, Jean, Kuna maneno ya kushangaza kabisa ndani ya shairi la kwanza la kitabu cha Ezra, ndiyo haya: “Bwana akasukuma roho ya Kiro, mfalme wa Persia.” Kwa nini Bwana alisukuma roho ya mfalme mpagano?
$ 8.75 
(CDN)
EzraNehemiahEsther

Taabu ya Yobu:
Mafundisho juu ya Kitabu cha Yobu

By Harlow, Robert Edward, Ndiyo, Yobu alipata taabu. Watu wale duniani wanapata taabu.
$ 5.75 
(CDN)
Job

Zaburi: Mafundisho juu ya Kitabu Cha

By Harlow, Robert Edward, Mafundisho juu ya Zaburi
$ 9.25 
(CDN)
Psalms

Vitabu Vya Manabii Kitabu 1 - Mafundisho juu ya Isaya

By MacDonald, William,
$ 4.00 
(CDN)
Isaiah

Vitabu Vya Manabii Kitabu 2 - Mafundisho juu ya Yeremia na Maombolezo

By MacDonald, William, Mafundisho juu ya Yeremia na Maombolezo
$ 3.25 
(CDN)
JeremiahLamentations

Ezekieli na Danieli - Vitabu Vya Manabii Kitabu 3

By MacDonald, William, Mafundisho juu ya Ezekieli na Danieli
$ 3.75 
(CDN)
EzekielDaniel

Wajumbe wa Hukumu na Utukufu

By Horton, Albert E., Mafundisho juu ya Hosea Kufika Malaki
$ 4.75 
(CDN)
HoseaJoel

Habari Njema ya Matayo Juu ya: Yesu Mfalme

By Sykes, Robert Henry, Matthew
$ 11.75 
(CDN)
Matthew

Mafundisho ya Agano Jipya

By MacDonald, William, Mwandishi wa Maandiko Matakatifu ni Mungu mwenyewe, na hakuna mtu anayeweza kujua maneno yote yaliyo ndani ya Agano Jipya.
$ 15.25 
(CDN)
MatthewMark

Habari Njema ya Marko

By Dougan, Jean, Habari Njema Yoane Marko aliyoandika ni fupi kupita Habari Njema ya Matayo, Luka au Yoane, lakini hata hivi aliandika juu ya maneno mengine ambayo wale waandishi watatu wengine hawakuandika juu yao.
$ 5.75 
(CDN)
Mark

Mafundisho juu ya Luka 13-24

By Harlow, Robert Edward, Mwandishi wa Habari Njema ya tatu alikuwa mganga Luka.
$ 7.00 
(CDN)
Luke

Mafundisho juu ya Luka 1-12

By Harlow, Robert Edward,
$ 7.00 
(CDN)
Luke

Mafundisho juu ya Yoane: Maji ya Uzima: Kitabu 1 Sura 1-9

By Harlow, Gertrud, Mungu ametupa sisi Habari njema ine kutupasha juu ya maisha ya Mwokozi wetu Hapa duniani.
$ 5.00 
(CDN)
John

Mafundisho juu ya Yoane: Maji ya Uzima: Kitabu 2 Sura 10-21

By Harlow, Gertrud, Mungu ametupa sisi Habari Njema ine kutupasha juu ya maisha ya Mwokozi wetu hapa duniani.
$ 6.00 
(CDN)
John

Yoane
Revised Congo Swahili Book of John

By Bible, , Yesu akawaambia: "Mimi ni mkate wa uzima"
$ 3.75 
(CDN)
John

Kitabu cha Matendo: Kukua na kuenea kwa Kanisa

By Harlow, Gertrud, Nini ilitokea wakati Bwana Yesu Kristo alipokwisha kurudi mbingini? Tunasoma habari hizi ndani ya kitabu cha Matendo.
$ 9.25 
(CDN)
Acts

Mafundisho juu ya Waroma 1-8: Hai na Huru

By Harlow, Robert Edward, Paulo aliandika baruna nyingi kwa Wakristo na makanisa.
$ 5.75 
(CDN)
Romans

Mafundisho juu ya Waroma 9-16: Hai na Huru

By Harlow, Robert Edward, Kitabu hiki kinaeleza maana ya sur 9-16 za barua ya Paulo kwa Waroma.
$ 5.25 
(CDN)
Romans

Barua za Agano Jipya

By Horton, Albert E., Kitabu hiki kiliandikwa zaida kwa watu wa Afrique.
$ 8.50 
(CDN)
Romans1 Corinthians

Mafundisho juu ya Biblia AGANO JIPYA: Waroma - Wakolosayi

By MacDonald, William,
$ 4.35 
(CDN)
Romans to Colossians

Wakorinto 1: Kanisa Lisilo Kamilifu

By Harlow, Robert Edward,
$ 8.50 
(CDN)
1 Corinthians

Wakorinto 2: Paulo na Kanisa kwa Korinto

By Harlow, Robert Edward, Namna ya Utumishi wa Mutuma Paulo.
$ 5.75 
(CDN)
2 Corinthians

Mafundisho juu ya Barua kwa Wagalatia

By Sykes, Robert Henry, Mbele ya kujifunza juu ya barua ya Paulo kwa Wagalatia tujikumbushe habari za safari za kuhubiri ambazo Paulo alifanya kwani ndani ya safari hizi tatu zote Paulo alifikia Galatia.
$ 4.50 
(CDN)
Galatians

Mafundisho juu ya Waefeso

By Harlow, Robert Edward, Ndani ya barua ya Paulo kwa Waefeso Mungu anatuonyeshea shauri lake la ajabu kwa watu wake.
$ 3.75 
(CDN)
Ephesians

Mafundisho juu ya Wafilipi

By Sykes, Robert Henry, Barua ya Paulo kwa waamini wa Filipi ni barua ya mapendo.
$ 4.50 
(CDN)
Philippians

Mafundisho juu ya Wakolosayi

By Harlow, Robert Edward, Kwa wakati wa ufalme wa Waroma mji wa Kolosayi ulikuwa ndani ya wilaya iliyoitwa Asia.
$ 3.50 
(CDN)
Colossians

Watesalonika: Yesu Atakuja Tena!

By Sykes, Robert Henry, Barua mbili kwa Watesalonika zilikuwa katikati ya barua za kwanza za Paulo.
$ 5.50 
(CDN)
1 Thessalonians2 Thessalonians

1 na 2 Timoteo na Tito

By Sykes, Philip F., Sykes, Robert Henry, Je, Mungu anaweka roho juu ya vijana (jeunesse)? Kabisa!
$ 5.75 
(CDN)
1 Timothy2 Timothy

Mtumwa Mkimbizi

By Sykes, Robert Henry, Hii ni barua fupi zaidi ya barua za Paulo ndani ya Biblia. Paulo aliiandika kwa Filemono juu ya Onesimo.
$ 4.25 
(CDN)
Philemon

Usirudi Nyuma

By Harlow, Robert Edward, Wakristo katika yerusalema walijaribiwa sana kurudi nymuma na kushikamana tena na dini ya Wayuda.
$ 6.25 
(CDN)
Hebrews

Mafundisho juu ya Barua ya Yakobo: Hakikisha Imani Yako

By Harlow, Gertrud, Kuna mafundisho mengi kwa mwenendo wa Mkristo ndani ya barua hii ndogo.
$ 3.50 
(CDN)
James

Barua Mbili za Petro

By Harlow, Robert Edward, Miaka mingi imepita tangu Mungu alipoongoza Petro kuandika barua zake mbili.
$ 3.75 
(CDN)
1 Peter2 Peter

Barua za Yoane na Yuda

By Sykes, Robert Henry, Yoane alikuwa kijana wakati alipokutana na Bwana Yesu mara ya kwanza.
$ 4.50 
(CDN)
1 John2 John3 JohnJude

Ufunuo: Mfalme Atakuja

By Harlow, Robert Edward, Ufunuo ni kitabu cha mwisho cha Biblia, kitabu cha faida kubwa.
$ 8.75 
(CDN)
Revelation

Inapasa Mkristo Kushika Sabato?

By Harris, F. Donald, Watu wengi wanafazaika juu ya neno hili, lakini Mkristo wa kweli anayejua Kitabu cha Mungu anaweza kujibu ulizo hili.
$ 3.75 
(CDN)
OtherThe Law

Kwa Nini, Bwana?

By Harlow, Gertrud, Mafundisho Juu ya Taabu na Mateso ya Wakristo.
$ 2.50 
(CDN)
OtherChristian Growth

Kanisa la Agano Jipya

By Harlow, Robert Edward, Ndani ya Biblia, Neno takatifu la Mungu. Biblia iliandikwa kwa maongozi ya Roho Mtakatifu nayo peke yake ina amri kutufundisha namna gani tunaweza kuanza kanisa ao kuliongoza. Na Biblia inatosha kabisa kutuonyeshea mapenzi ya Mungu kwa maneno haya.
$ 4.50 
(CDN)
The Church

Kusanyiko la Wakristo-Kanisa ni Nini?

By Cullen, Robert, Wolcott, M.N., “lakini takaseni Kristo kuwa Bwana mioyoni mwenu, mukiwa tayari wakati wote kujibu kila mtu anayeuliza habari za tumaini lililo ndani yenu; lakini kwa upole na kuogopa” (1 Petro 3:15).
$ 2.50 
(CDN)
The Church

Uongozi Katika Kanisa

By Rayhbuck, Roger, Kawaida ya Uongozi Katika Biblia
$ 2.75 
(CDN)
The Church

Mtumishi Mnyenyekevu

By Wolcott, M.N., Utumishi wa Wakubwa Katika Ufalme wa Mungu
$ 2.50 
(CDN)
The Church

Karamu ya ukumbusho wa Bwana

By Harlow, Robert Edward, Meza ya Bwana ni karamu ya ukumbusho.
$ 2.50 
(CDN)
The ChurchLord's Supper

Kristo Alipenda Kanisa

By MacDonald, William, "Christ love the Church"
"Kristo alivyopenda kanisa, na kujitoa mwenyewe kwa ajili yake."
$ 4.50 
(CDN)
The ChurchJesus Christ

Mimi Kwanza?

By Long, David Boyd, Tuwaze juu ya Bwana Yesu Kristo kama mfano wetu kwa sababu haifai kwetu kujifananisha na Wakristo wengine.
$ 5.00 
(CDN)
The ChurchJesus ChristNew Christian

Maendeleo ya Kanisa

By Harlow, Robert Edward, Mungu amesema na watu ndani ya Biblia takatifu.
$ 5.50 
(CDN)
The ChurchChristian Growth

Tunaweza Kujua Mungu?

By Harlow, Robert Edward, Kitabu hiki kinafundisha ya kwamba Tunaweza kujuna Mungu, na kinatujulisha mambo mengi juu ya mungu.
$ 5.50 
(CDN)
Jesus Christ

Yesu Kristo, Mungu Mwana

By Harlow, Robert Edward, Milele ni muda mrefu sana. Ni mrefu kupita miaka elfu moja. Hatuwezi kupima urefu wa milele.
$ 4.50 
(CDN)
Jesus Christ

Mifano ya Kristo

By Deans, William A., Katika Agano la Kale
$ 4.50 
(CDN)
Jesus Christ

Tukitazama Yesu

By Monod, Theodore, Maneno mawili tu, lakini ndani ya maneno haya mawili inafichwa siri nzima ya maisha ya baraka.
$ 2.50 
(CDN)
Jesus Christ

Njia ya Haki: Kitabu 1

By Bramsen, Paul D., Habari Njema kwa Waislamu
Matendo ya dini yanasaidia mtu kuonekana kama mwenye haki lakini hayawezi kumfanyiza kuwa na haki mbele ya Mungu.
$ 11.00 
(CDN)
Jesus ChristSalvation

Njia ya Haki: Kitabu 2

By Bramsen, Paul D., Habari Njema kwa Waislamu
Matendo ya dini yanasaidia mtu kuonekana kama mwenye haki lakini hayawezi kumfanyiza kuwa na haki mbele ya Mungu.
$ 9.50 
(CDN)
Jesus ChristSalvation

Njia ya Haki: Kitabu 3

By Bramsen, Paul D., Habari Njema kwa Waislamu
Matendo ya dini yanasaidia mtu kuonekana kama mwenye haki lakini hayawezi kumfanyiza kuwa na haki mbele ya Mungu.
$ 14.25 
(CDN)
Jesus ChristSalvation

Mambo Yanayokuja: Mafundisho juu ya Unabii: Masomo 7-12

By Harlow, Robert Edward, Kitabu hiki kinaendelea na mafundisho uliyopata ndani ya Kitabu 1 (Masomo 1-6) cha "Mafundisho juu ya Unabii". Ndani ya Masomo 7-12 ya kitabu hiki cha pili utajifunza maneno mengi zaidi juu ya Mambo yanayokuja.
$ 6.50 
(CDN)
Jesus ChristProphecy

Wokovu wa Milele

By Harlow, Robert Edward, Mtu anaweza kuokolewa sku ya Bwana na kupotea tena siku ya kazi moja?
Mungu anampa mtu uzima wa milele, kisha anauondoa tena?
unahitaji kulipa mali ngapi kupata zawadi ya Mungu?
$ 5.25 
(CDN)
SalvationChristian Growth

Mambo Yanayokuja, Mafundisho juu ya unabil -Masomo 1-6

By Harlow, Robert Edward, Kitabu hiki kinaendelea na mafundisho uliyopata ndani ya Kitabu 1 (Masomo 1-6) cha "Mafundisho juu ya Unabii". Ndani ya Masomo 7-12 ya kitabu hiki cha pili utajifunza maneno mengi zaidi juu ya Mambo yanayokuja.
$ 7.00 
(CDN)
Prophecy

Omba kwa Jina Langu

By Harlow, Gertrud, "Na mukiomba lo lote kwa jina lanu, nitalifanya, Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Kama mukiomba neno gani kwa jina langu nitalifanya." Yoane 14.13-14
$ 3.00 
(CDN)
Prayer

Roho Wazuri na Wabaya

By Long, David Boyd, Biblia Inafundisha Nini juu ya Roho?
$ 2.75 
(CDN)
New Christian

Maziwa Kwa Waamini Wa Sasa

By Tatham, C. Ernest, Tunaweza kuipata namna gani?
$ 4.25 
(CDN)
New Christian Salvation

Safari Wapi?

By Sykes, Robert Henry, Unafikiri huna safari?
$ 2.25 
(CDN)
New Christian Salvation

Mashairi Kwa Wakati Wa Mateso

By Harlow, Gertrud, Kuficha Moyoni Sasa!
$ 2.00 
(CDN)
New Christian Christian Growth

Nyimbo za Mungu na Nyimbo za Kuabudu

By Authors, Various, Hymn Book
$ 18.50 
(CDN)
Worship

Rudi Kwa Mungu

By MacDonald, William, Nini Ilipata Kahindo?
$ 2.50 
(CDN)
Christian Growth

Nuru kwa Kila Siku

By Bagster, Samuel, Daily Light
Thousands have experienced the spiritual rewards of daily reading these inspiring Scripture selections.
$ 20.00 
(CDN)
Christian Growth

Tafuta Maandiko

By Neno La Imani, , Helpful Message outlines.
$ 3.50 
(CDN)
Christian Growth

Shauri la Mungu kwa Wanawake Ambao Wanampenda

By Barnett, Anne, Mungu ana kusudi ndani ya maneno yote ambayo anafanya.
$ 2.75 
(CDN)
Christian Growth

Jua Kitabu: Tazamo la Biblia

By Johnston, E.A., Kusudi la kitabu hiki ni kusaidia msomaji kujua maneno makubwa yaliyo ndani ya kila kitabu cha Biblia. Ni Tazamo, si Tafsiri (maana yake hakielezi maana ya maneno yote yaliyoandikwa ndani ya kitabu chenyeweh.
$ 8.50 
(CDN)
Christian Growth

Lugha: Kwa Wakati wa Sasa?

By Long, David Boyd, Ni sharti kwa maneno yote Mkristo anayofanya au kusikia rohoni kupatana na maneno Biblia inayofundisha. Sharti tupime maneno yote na Maandiko Matakatifu. Soma 1 Yoane 2:3-5.
$ 3.00 
(CDN)
Christian Growth

Visa Vya Biblia: Sehemu ya Kwanza

By Schooland, Marian, Habari waziwazi za Agano la Kale pamoja na mifano
$ 12.50 
(CDN)
Christian GrowthChildren

Visa Vya Biblia: Sehemu ya Pili

By Schooland, Marian, Habari waziwazi za Agano Jipya pamoja na mifano
$ 10.25 
(CDN)
Christian GrowthChildren

Mazungumuzo kwa Watoto

By Taylor, Kenneth N.,
$ 9.25 
(CDN)
Children

Kulea Watoto Wetu Kwa Mungu

By Stough, Betty, Fundisha mtoto katika njia ambayo inampasa kwenda, na hata wakati atakapokuwa mzee, hataiacha. Mezali 2:6
$ 3.00 
(CDN)
Children